cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,774
- 5,314
Hata mi nimekumbuka naufanyaga nikiwa nimepanda mwendokasi likiwa limejaaaHata mimi huu mchezo naufanyaga sana kila nikipata muda wa kwendaga Kariakoo

Kwenye uzi wako zile "shee" unamaanisha nini?Ilikuwa kitambo tbt flan ivi nishaacha mwanangu