Raha tuliyonayo wana CCM kuelekea 2020

Raha tuliyonayo wana CCM kuelekea 2020

Mudawote kumbuka hili na jitahidi sana usilisahau: WAKATI SI MILELE

Jr[emoji769]
Mshana Jr badilikeni, jifunzeni kwa Dkt Magufuli, msi kopi kila kitu toka mataifa yaliyoendelea. Mnapaswa kuisapoti serikali ktk juhudi za kuleta maendeleo, kuweni kama tunavyoweza kuchangamana kwa dini au makabila, sifieni pale ambapo mnaona serikali ya CCM imetekeleza ahadi yake, au onesheni mbadala wa jambo ambalo mmefanya utafiti na kuona lina faida kwa nchi. Acheni kutukana watanzania maana nyie ni wachache. Kwa ufupi kwa siasa mlizoendesha tangu 2015, wapinzani mnanuka MAVI.
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Nobody knows tomorrow. Hata kwenye Titanic walikuwa na raha hivyo hivyo.
Masaa machache baadae ikawa shubiri, na historia ikaandikwa.
Ajidhaniaye amesimama aangalie asianguke.
Kuti la mazoea ndilo humuangusha mgema
CCM raha tupu. Usiogope kusifia.
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Mshana Jr badilikeni, jifunzeni kwa Dkt Magufuli, msi kopi kila kitu toka mataifa yaliyoendelea. Mnapaswa kuisapoti serikali ktk juhudi za kuleta maendeleo, kuweni kama tunavyoweza kuchangamana kwa dini au makabila, sifieni pale ambapo mnaona serikali ya CCM imetekeleza ahadi yake, au onesheni mbadala wa jambo ambalo mmefanya utafiti na kuona lina faida kwa nchi. Acheni kutukana watanzania maana nyie ni wachache. Kwa ufupi kwa siasa mlizoendesha tangu 2015, wapinzani mnanuka MAVI.
Its so pathetic kwamba hata hukuelewa nilichoandika... Hata hivyo siwezi kukulaumu kwakuwa uono wako mwisho wake ni siasa za ccm

Jr[emoji769]
 
Great Thinkers,

Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Hiyo 100% labda ya wewe na pimbi wenzako
 
Dkt Magufuli anakubalika 100% hata wewe moyoni unalijua ila kwa sababu ya viapo vya ukabila basi unachuki binafsi.
Haahaa, sasa kwa nn anamtumia polepole kuzuia wanaccm wengine wasitumie nafasi yao ya kugombea urais kupitia ccm? Ili kura zikapigwe?
 
Great Thinkers,

Kwa heshima ya jukwaa hili na weledi wa ma GTs’ JF, ninaomba tuungane kusherehekea ushindi mnono wa CCM kuelekea 2020 kwa sababu:
1. CCM imeweza kutekeleza ahadi zake zote za 2015
2. CCM inamgombea urais anayekubalika 100% na hana mpinzani ndani na nje ya chama.
Muda ni kitu cha ajabu mno jaribu kuweka akiba ya maneno.
 
Mshana Jr badilikeni, jifunzeni kwa Dkt Magufuli, msi kopi kila kitu toka mataifa yaliyoendelea. Mnapaswa kuisapoti serikali ktk juhudi za kuleta maendeleo, kuweni kama tunavyoweza kuchangamana kwa dini au makabila, sifieni pale ambapo mnaona serikali ya CCM imetekeleza ahadi yake, au onesheni mbadala wa jambo ambalo mmefanya utafiti na kuona lina faida kwa nchi. Acheni kutukana watanzania maana nyie ni wachache. Kwa ufupi kwa siasa mlizoendesha tangu 2015, wapinzani mnanuka MAVI.
Kama mna jiamni hofu ni ya nini mbona serikali za mitaa hamkuacha wananchi waamue mkaamua kwa kutumia tume ?
 
Back
Top Bottom