mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,468
- 431,954
Video ikionesha halima mdee anazozana na msimamizi wa kituo kuhusu kura feki.View attachment 1614499
Niko Calgary Canada hapaKwasasa nipo Canberra Australia baada ya kutoka German na USA


apk means android package sasa kwenye ios unatafuta apk zipii??Wenye iphone mnafayaje kupata apk za vpn wakuu ?? Kuingia google naingia fresh ila sipati apk za kupakua alfu pia apple store haifunguki.


tuliwaambia mnunue tecno haya ona sasaapk means android package sasa kwenye ios unatafuta apk zipii??tuliwaambia mnunue tecno haya ona sasa


wenye Tecno zetu tuna jimwambafaiWasubri matokeo ndo walalamike
Itabidi ni download twira maana napitwaTumeshachelewa Wenzenu ..wenye VPN tusaidie uzi wa twitter updates
Naomba mnitag jmn
Bora uwe una post screenshot za kigogo tusio twirani tufaidike
Hili song nalikubali sana.I am Jamaican in New York