Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

Ni sababu zipi zinakufanya uwe 'single' mpaka sasa hivi? Kipato unacho, umri umeenda ,lakini bado uko single. Huku mtaani tunashidwa kukuelewa, ni masharti, hisia hakuna, au tatizo ni nini? Ebu funguka utujuze kwa nini uko single?
Daa ubize wa kutafuta chapaa ndo unanikosesha watoto wazuri

born to shine
 
Hakuna raha yoyote yakuwa single zaidi yakuchubuka kwa kupiga nyeto na msongo wa mawazo


Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom