william mbipi
Member
- May 16, 2017
- 34
- 63
Raha yake ni nini ebu niaminishe na Mimi??..
MamakoBabaako au?
kwa uelewa wakokuwa single ni kilema hicho
Mmh[emoji15]Ndiyo
MmmhNi maisha mabaya sana sana sana.
Sina cha KUELEZEA,
Ila anaongelea nnMm nikiona mtu anasema hana stress basi najua ndio anazo mtu ambae hana stress huwa haoengelei mambo ya kutokuwa na stress.
Stresa uliyokuwa nayo ni ya kiwango cha juu sanaIla anaongelea nn
Kwan wameitwa?Sawa, ngoja waje inbox.
Hakuna watu wanao date kama wake za watu na waume za watu.Laabda usema ukiwa single unakua free kudate na kila NTU kuliko kuwa na full time relationship contract
Limoyo langu limekudondokeaItakua ubavu wako ulipikiwa supu...
Khaa..nan tena?Stresa uliyokuwa nayo ni ya kiwango cha juu sana
Yangekuwa matamu kihivyo basi ndoa zingekuwa chache sana.Yaaah kuwa single raha sana because hakuna stress unakua free..vp wengne mwaonaje hii status??
Huo ujinga sasaLaabda usema ukiwa single unakua free kudate na kila NTU kuliko kuwa na full time relationship contract
Kwa thread kama hii inaonyesha huna sokoMamako