Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

Usingel mama kazi kweli kweli

Yaani umimbwe uachwe leo ohhh u single raha na vip ile punyeto maana unaweza kukaa ukawa unatokwa maji kama una fistula kisa punyeto

Dangaruka bana usikae ki poyoyo ohhh wengine wale raha wewe ubaki mpweke pole though
 
Hamna maisha matamu sana km kua na Sabuni Wa roho yako..

Ndomaana Adamu alivyoona wanyama wapo wawili wawili aliumia sanaaaaa mpaka akaumbiwa mwenzake !!.

Ukiwa single alafu ukawa mdangaji yaan leo unahuyu ,kesho yule HUO NI UPUMBAVU.
 
Najua wengi hawatakuelewa!

To make things clear, this is an invitation to tender!

Yani ni tangazo kama matangazo mengine!

No hard feelings!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Wew ndo umeelewa hvo but haiko hvo
 
Najua wengi hawatakuelewa!

To make things clear, this is an invitation to tender!

Yani ni tangazo kama matangazo mengine!

No hard feelings!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mkuu una akili sana
 
Back
Top Bottom