Raha kupata anayekupenda

mangosongoo

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
257
456
Kwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane ,muheshimiane...mkosoane,muelimishane,!!
Mungu amuweke huyu mtu aliyeniletea huu upendo.
 
Barikiwa zaidi
 
Hongera, endelea kufurahia! Ila Ujue wajibu wako kwake!! Siyo visingeli vyako
 
Hahah sasa ulikuwa hujui ladha ya kupendwa ikoje ndio umeshaanza kuipata. Utulize mshono sasa sio uanze drama za kiduanzi kisa unaona umependwa na unathaminiwa maana hamchelewagi kujiona keki!
 
Love, oh Love.:p:p

So Beautiful to be in love. Its a feeling you cannot explain when its true.

Acha kipasukie nyongo *****.:eek::eek:
 
Kwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane ,muheshimiane...mkosoane,muelimishane,!!
Mungu amuweke huyu mtu aliyeniletea huu upendo.
Haya
 
Hongereni sana dada binti singeli

Atamia vizuri hayo mahusiano.Mungu awapiganie.
 
Tatzo linakuja pale wale agents wa Satan wanapoanza kuharibu upendo wenu. Salini sana ili mfikie malengo yenu maana Satan hakai mbali kuvuruga.
Asante...
Mkuu umetoa point nzuri sana ila hiyo ID haifanani na ulichopost... plz naomba badilisha mkuu kwa heshima ya Mungu.
 
Back
Top Bottom