Hata kiiba Lamboghini tamuusia nani yero?
............. tumeweza....................tunasonga mbele.....................Home sick!
Tumethubutu......!
Lamborghini..Kazi ya Mwitaliano hiyo.
Hawa jamaa wapo mbaya kiuchumi lakini matajiri wengi duniani bado wanawategemea kwa maisha yao ya kila siku kuanzia chakula (Spaghetti bolognaise, Margherita pizza),Nguo (Giorgio Armani, Fendi, Gucci, Prada,Versace), Cars(Ferrari, Maserati, Pagani Zonda, Lamborghini) mpaka Furnitures.Playboy Slivio Barlusconi ndio alichangia kuvuruga.huyu huyu mwenye matatizo ya kiuchumi?
hapa bongo bila kuwa fisadi au kuwa na hela za majini huu mzigo hununui