Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Mimi zamani nilikuwa wakati siwajui wasomali nlikuwa nadhani ni wa2 safi tu, kumbe hawa jamaa wanatuchukia sana sisi wabantu bila ya sababu yeyote ile hawezi kufanya urafiki na mweusi ila msomali au mhindi au mwarabu, sisi ni takataka kwao mbaya zaidi sisi tunajifanya wakarimu wakati ukitoka ukaenda somalia tu hapo utakutana na ubaguzi wa hatari huruhusiwi hata kufanya kazi ya heshima we wanakuita abdi/mtumwa hadi kesho, hata ujumbe wa nyumba kumi hupati sasa iweje sisi tunawapa hadhi kubwa hapa mana mtu ni kwao bwana kote utabaguliwa mwafrika lakini nyumbani unatakiwa uwe bwana sasa kama hata hapa kwetu wao ni mabwana ina maana ndio kusema kweli sisi tumeumbwa tuwe watumwa wao??
Hawa wa2 ni wabaguzi mno wamepitiliza na kama wanakuja hapa walistahili watutumikie na siye lakini badala yake wanatutawala hata hapa kwetu!!sasa sisi tutakuwa wageni wa nani??
Thubutu! Hawakupi ng'oHivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?
Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?
Angalia sana ndugu yangu yawezekana na wewe una vinasaba vya hao wasomali wanaomaliza nyara zetu na ugomvi kwao ni jadi. Tafadhali sana angalia unayoyasema na uzingatie kuwa baadhi ya watu sio wazuri katika jamii.
Issue sio Vita kwa sasa issue ni mgawanyo fair wa pato la taifa.Udini, ukabila, rangi ya mtu na ubaguzi wa kujumla wa binadamu, hautakiwi hapa Tanzania, mtanzania sio lazima awe mbantu wa Tanganyika, anaweza kuwa mweupe, mwarabu, msomali, mwanamke, shoga, mkristu au muislamu.
Hio ndio siri ya sisi wabongo kutokuwa na mavita ya kijinga kijinga mpaka leo, sijui wengine wataelewa haya lini....!
Ovyoooooooooo.Kila kitu kinawezekana!. Nenda Arusha, mitaa yote mbele ya soko la Arusha ni nyumba za wasomali watupu!, wamezaliwa Arusha, wamekulia Arusha na watafia Arusha! ni Watanzania Wenzetu!.
Nenda umasaini eneo la Ngaramtoni, utashuhudia Wasomali pure, wanaongea Kimasai safi!, wamezaliwa umasaini, wamekulia umasaini na watafia umasaini, ni Watanzania wenzetu!.
Nenda uhindini, kuna watoto wamezaliwa uhindini, wamekulia uhindini lakini hawazungumzi Kiswahili ila ni Wanzania wenzetu!.
Rage ni Msomali Mtanzania mwenzetu!, Kinana ni Msomali Mtanzania mwenzetu na Bashe ni Msomali Mtanzania mwenzetu!. Tusiwasakame bure kutokana na rangi zao!, kuna Warundi, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wajaluo, Wazaire, Wamalawi, Wazambia, Wamsumbiji kibao wako kwenye madaraka makubwa serikalini tena wengine mpaka idara nyeti!, wamepose kama Watanzania, hatuwasakami kwa sababu tuu wamefanana na sisi!, kitendo cha kuwasakama Wasomali na Wahindi tuu, huu pia ni ubaguzi mbaya!.
Pasco.
mbons mkenya kakubalika USA?Hivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?
Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?
Wewe jibu hoja ya msingi, Rajiv GHANDI alipouwawa mbona wahindi walisita kumpa uwaziri mkuu mkewe Sonia GHANDI kwa kuwa ni raia wa kihindi mwenye asili ya Italia? Sisi kwa nini tusinde deep kama wenzetu? mbona wasomali kamwe hawaolewi na WANDENGELEKO, WAGOGO mpaka wasomali wenzao au wazungu , mjinga mkubwa wewe.
Hoja yako ingeweza kueleweka bila hayo maneno mekundu.==================================================================================
Wacha Ujinga Kijana, Rage was the best of the LOT who stood with him for election, sasa kwanini kachaguliwa, kila tunaposhindwa na wenzetu tutasema katumia pesa. Very cheap excuse. Rage anakubalika Tabora, wala usitake kubisha. Na pia kuna huyo mjinga mwengine asemaye kila anayemtetea Rage ni mpambe wake, Thats too low for an Inteligent person to say, Tutawatetea wote wenye haki ambao wanonewa hapa JF, this is a congregation of the Inteligent, Fair and Democratic, nashindwa kujua nyie mnafanyanini humo, sipo kwenu.
hii si marekani,by the way hoja kubwa ni kuwa amedanganya na hii inaonyesha nia ovu! zaidi hana credibility ya kuwa mjumbe wa serikali ya kijiji achilia mbali uenyekiti wa simba na more seriously mbunge tene wa Tabora mjini.huwa najiuliza kwa nini watu waovu na wenye utata wa uraia huwa wanaccm na hupata vyeo vikubwa vikubwa? isije ikawa hiki chama nacho ni genge la watu wenye nia mbaya na nchi yetu! halafu na nyinyi Tabora jitambueni kwa kuanzia na Lipumba mbona Milambo na Isike walikuwa wanajitambua?mbons mkenya kakubalika USA?
Kila kitu kinawezekana!. Nenda Arusha, mitaa yote mbele ya soko la Arusha ni nyumba za wasomali watupu!, wamezaliwa Arusha, wamekulia Arusha na watafia Arusha! ni Watanzania Wenzetu!.
Nenda umasaini eneo la Ngaramtoni, utashuhudia Wasomali pure, wanaongea Kimasai safi!, wamezaliwa umasaini, wamekulia umasaini na watafia umasaini, ni Watanzania wenzetu!.
Nenda uhindini, kuna watoto wamezaliwa uhindini, wamekulia uhindini lakini hawazungumzi Kiswahili ila ni Wanzania wenzetu!.
Rage ni Msomali Mtanzania mwenzetu!, Kinana ni Msomali Mtanzania mwenzetu na Bashe ni Msomali Mtanzania mwenzetu!. Tusiwasakame bure kutokana na rangi zao!, kuna Warundi, Waganda, Wakenya, Wanyarwanda, Wajaluo, Wazaire, Wamalawi, Wazambia, Wamsumbiji kibao wako kwenye madaraka makubwa serikalini tena wengine mpaka idara nyeti!, wamepose kama Watanzania, hatuwasakami kwa sababu tuu wamefanana na sisi!, kitendo cha kuwasakama Wasomali na Wahindi tuu, huu pia ni ubaguzi mbaya!.
Pasco.
mnaingia mwaka 2013 mkiwa mmepanda bus la ukabila na urangi! shame on you guyz