Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
kuhutubia mkutano na bastola kiunoni, kugombea mlingoti wa bendera.
kuhutubia mkutano na bastola kiunoni, kugombea mlingoti wa bendera.
ni kweli amesema,nilimsikia kupitia sports xtra ambao walisema walirekod mahojiano yake na PAWA BREKIFASTI
- Kama Rage anayoyasema ni kweli basi anasahau kwamba anapaswa kuwajibika kwa timu kufanya vibaya... timu hii Rage na wenzake wameikuta katika hali nzuri lakini matatizo yao na wachezaji yanasababisha wahezaji waboronge.. hakuna kitu ambacho simba wamefanya kosa kama kumrudisha JULIO... Julio ni nuksi... anaingilia kazi za makocha ... yeye pale ameteuliwa kama timu meneja lakini anaingilia maswala yasiyo muhusu.. achaneni na julio
Tokea Lini CHOKO Likakosa Nuksi Jitu limeshikishwa vikuta na Magram akaja Kibadeni nae kaliinamisha vya kutosha hebu muulizeni na Umri wote alionao ana mke/mchumba au Mpenzi au hata mtoto wa KUSINGIZIWA Hilo ndo NUKSI Kubwa