RAGE atoa tamko zito

RAGE atoa tamko zito

Wana simba muwe makini na fedha za malipo ya usajili wa OKWI. Rage atawaliza sasa hivi kwa kuwaambia amelipia deni la kocha waliomfukuza wakati hela imelipwa na mtu mwingine
 
wana simba muwe makini na fedha za malipo ya usajili wa okwi. Rage atawaliza sasa hivi kwa kuwaambia amelipia deni la kocha waliomfukuza wakati hela imelipwa na mtu mwingine

walizwe mara ngapi? Kisha waliza siku nyingi ni hivi goefrey nyange kaburu anadai yeye ndie alimsajili okwi mara ya kwanza pamoja na owino hivyo anatakiwa arudishiwe mkwanja wake pamoja na 35% wawalipe kcc kama makubaliano ya awali pili zacharia hans pope yeye anataka mkwanja wake kwa kuwa yeye ndie aliekwenda kumlipia madai yake ya kuongea mkataba novemba mwaka jana huko kampala ambayo ni kama $50,000 pamoja na kodi ya pango la nyumba kilichobaki wakampa mfalme nyuki aka ba'mkwe wake libolo nae kamnunua dhaira yule kipa alikuja kuuza sura bongo kwa ada ya uhamisho $40,000 kisha wamelipa gharama za kuvunja mikataba ya ochieng na akuffour kama $20,000 hadi $30,000 hivi
hivyo basi mahesabu yameishia hapo hakuna kilichobakia ni kumuuza kapombe baada ya ngassa kuwashtukia mapema kuwa jamaa wapo kimaslahi zaidi kuliko klabu/tasisi wanayoiongoza
 
aende akapige bastola wachezaji ashazoe kutishia bastola kama mtoto
 
Alikua na bastola yake wakati wa kutoa hili tamko??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yaani Rage alikuwa kiongozi mzuri na anaejua fitina.. Lakini toka aingie kwenye siasa na kuwa gamba rasmi amekuwa ovyo kabisa.. ccm huko cijui kuna nini maana amekuwa ovyo.. Yaani kama dereva aliehamia kuendesha daladala.. Aondoke atuachie Simba yetu..
Mzee wa pistol aka AL SHAABAB
 
RAGE: nijiuzulu kwani
mimi nacheza namba ngapi uwanjani?
Wanachama ndio walionichagua tena kwa kura nyingi, sasa iweje niondoke
katika kipindi hiki tena timu ikitakiwa kwenda Angola na huku tiketi za
ndege pamoja na viza hawana?
Nikitaka kuacha nitaitisha mkutano na wanachama na kuwaambia mambo
yamenizidi naomba nang'atuke
SOURCE: akiojiwa clauds fm kwenye PB

sikuwahi kufikiria kwamba Rage anaweza kuwa kiongozi mzuri hasa ukizingatia mpira wa sasa unaongozwa kwa utaalam na si FITINA
 
RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani?
Wanachama ndio walionichagua tena kwa kura nyingi, sasa iweje niondoke katika kipindi hiki tena timu ikitakiwa kwenda Angola na huku tiketi za ndege pamoja na viza hawana?
Nikitaka kuacha nitaitisha mkutano na wanachama na kuwaambia mambo yamenizidi naomba nang'atuke
SOURCE: akiojiwa clauds fm kwenye PB

  • Kama Rage anayoyasema ni kweli basi anasahau kwamba anapaswa kuwajibika kwa timu kufanya vibaya... timu hii Rage na wenzake wameikuta katika hali nzuri lakini matatizo yao na wachezaji yanasababisha wahezaji waboronge.. hakuna kitu ambacho simba wamefanya kosa kama kumrudisha JULIO... Julio ni nuksi... anaingilia kazi za makocha ... yeye pale ameteuliwa kama timu meneja lakini anaingilia maswala yasiyo muhusu.. achaneni na julio
 
mtu mzima hakombi mboga...
Na ikitokea basi watasema kaipenda...
 
yaani rage alikuwa kiongozi mzuri na anaejua fitina.. Lakini toka aingie kwenye siasa na kuwa gamba rasmi amekuwa ovyo kabisa.. Ccm huko cijui kuna nini maana amekuwa ovyo.. Yaani kama dereva aliehamia kuendesha daladala.. Aondoke atuachie simba yetu..

ukishakuwa gamba busara zote zinahama.
 
  • Kama Rage anayoyasema ni kweli basi anasahau kwamba anapaswa kuwajibika kwa timu kufanya vibaya... timu hii Rage na wenzake wameikuta katika hali nzuri lakini matatizo yao na wachezaji yanasababisha wahezaji waboronge.. hakuna kitu ambacho simba wamefanya kosa kama kumrudisha JULIO... Julio ni nuksi... anaingilia kazi za makocha ... yeye pale ameteuliwa kama timu meneja lakini anaingilia maswala yasiyo muhusu.. achaneni na julio
Tokea Lini CHOKO Likakosa Nuksi Jitu limeshikishwa vikuta na Magram akaja Kibadeni nae kaliinamisha vya kutosha hebu muulizeni na Umri wote alionao ana mke/mchumba au Mpenzi au hata mtoto wa KUSINGIZIWA Hilo ndo NUKSI Kubwa
 
Ohoo inaonekana hii habari ya upande wa 2 wa Mheshimiwa,mimi simo katika hili nisije kupigwa na bastola bure.
 
walizwe mara ngapi? Kisha waliza siku nyingi ni hivi goefrey nyange kaburu anadai yeye ndie alimsajili okwi mara ya kwanza pamoja na owino hivyo anatakiwa arudishiwe mkwanja wake pamoja na 35% wawalipe kcc kama makubaliano ya awali pili zacharia hans pope yeye anataka mkwanja wake kwa kuwa yeye ndie aliekwenda kumlipia madai yake ya kuongea mkataba novemba mwaka jana huko kampala ambayo ni kama $50,000 pamoja na kodi ya pango la nyumba kilichobaki wakampa mfalme nyuki aka ba'mkwe wake libolo nae kamnunua dhaira yule kipa alikuja kuuza sura bongo kwa ada ya uhamisho $40,000 kisha wamelipa gharama za kuvunja mikataba ya ochieng na akuffour kama $20,000 hadi $30,000 hivi
hivyo basi mahesabu yameishia hapo hakuna kilichobakia ni kumuuza kapombe baada ya ngassa kuwashtukia mapema kuwa jamaa wapo kimaslahi zaidi kuliko klabu/tasisi wanayoiongoza

Lahaullla!!!!!
Mkuu unataka kuniambia pesa yote imeshaishilia mikononi mwa hawa Wahujumu uchumi na wavunja sheria za nchi hii? hii ni hatari sana.
 
Yaani kwa mpango huu hatutafika kokote viongozi wapo kwa masilahi binafsi na si timu kama wameshindwa waachie timu kuaza moja siyo ujinga...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom