RAGE atoa tamko zito

RAGE atoa tamko zito

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani?
Wanachama ndio walionichagua tena kwa kura nyingi, sasa iweje niondoke katika kipindi hiki tena timu ikitakiwa kwenda Angola na huku tiketi za ndege pamoja na viza hawana?
Nikitaka kuacha nitaitisha mkutano na wanachama na kuwaambia mambo yamenizidi naomba nang'atuke
SOURCE: akiojiwa clauds fm kwenye PB
 
Yaani Rage alikuwa kiongozi mzuri na anaejua fitina.. Lakini toka aingie kwenye siasa na kuwa gamba rasmi amekuwa ovyo kabisa.. ccm huko cijui kuna nini maana amekuwa ovyo.. Yaani kama dereva aliehamia kuendesha daladala.. Aondoke atuachie Simba yetu..
 
Kazi kugombania milingoti ya Bendera, kugombea magoli hawezi.
 
Yaani Rage alikuwa kiongozi mzuri na anaejua fitina.. Lakini toka aingie kwenye siasa na kuwa gamba rasmi amekuwa ovyo kabisa.. ccm huko cijui kuna nini maana amekuwa ovyo.. Yaani kama dereva aliehamia kuendesha daladala.. Aondoke atuachie Simba yetu..

Kaka kuwa gamba ni kama una kichaa vile........hebu msikilize
RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani?

Ndio maana Kawambwa nae hajiuzulu kwa kuwa si yeye aliyefanya mitihani!
 
Kweli hilo ni tamko zito.
Kilichobaki atang'olewa kwa vitu vizito na vyenye ncha kali.
 
huku nyekundu kule njano na kijani.ameathirika na yale maji
 
huku nyekundu kule njano na kijani.ameadhirika na yale maji

Umemaliza kazi.........

rage-1.jpg

IMG_2166.jpg
 
FIFA wanasisitiza kiongozi akichaguliwa lazima amalize muda wake, hii ndo silaha ya RAGE
 
Siku zake zinahesabika, aondoke tuone kama timu haita enda Angola. Watu tunazo tunaona magumashi mengi tu pale
 
RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani?
Wanachama ndio walionichagua tena kwa kura nyingi, sasa iweje niondoke katika kipindi hiki tena timu ikitakiwa kwenda Angola na huku tiketi za ndege pamoja na viza hawana?
Nikitaka kuacha nitaitisha mkutano na wanachama na kuwaambia mambo yamenizidi naomba nang'atuke
SOURCE: akiojiwa clauds fm kwenye PB
Mmejikwaa kwa mtu huyu eti hata Tabora wanajuta kumchagua ubunge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom