Rage Atimuliwa Simba!!!

Rage Atimuliwa Simba!!!

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,425
Reaction score
3,300
Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.
 
Simaba nao, wanamchukuaje huyu. Shauri yao.
 
iyo ishu hapa sio sehamu yake peleka kule kwenye jukwaa la michezo
 
Alipokubali kutumiwa na mwigulu kupeleka timu jimboni kwake alidharaulika. Simba haina chama.
 
iyo ishu hapa sio sehamu yake peleka kule kwenye jukwaa la michezo

Jukwaa linafaa kabisa simba nao wanajitakia huyo ni mtu gani? mimi ninafikiaga kusema wanachama wa Simba na wapiga kura wa Tabora mjini wote akili zao ziko matakoni Rage ni mtu gani wa kumchagua kuwa kiongozi?
 
Nilidhani kakutwa na Opresheni Kimbunga...
 
...huu ndo wakati muhafaka wa kutenganisha ngano na magugu...fukuza kabisa hao wabakaji...
 
Nadhani issue kubwa itakua kumng'ang'ania Kibadeni na Julio wasitimuliwe
 
Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.

Nilikula kiapo sitoshabikia timu ya SIMBA SC mpaka hapo Aden Rage atakapokuwa si Mwenyekiti wa Simba SC. Ni upuuzi mtupu. Nikisikia jina la timu hii nasikia kichefuchefu kwa jinsi wote walivyo mazoba kumchagua na hata baada ya kuboronga bado wanamuacha aendelee kuongoza. Foolish kabisa, kaharibu heshima yote ya Simba SC.

Ukinywa dawa yenye mchanganyo huu lazima upone kichaa RAGE+KAPUYA x NAPE - MWIGULU NCHEMBA / PHILIP MULUGO.

Kama kiongozi ni Rage, wanachama wote wanakuwaje? Stu..d Leaders!
 
Mzee wa Alshabab mmemtoa?? Mtatuletea balaa...! Duh ILA Simba mlipata garasa pale
 
Simaba nao, wanamchukuaje huyu. Shauri yao.

Simba gani huyu wa kijani na manjano halafu anabeba silaha.....al-kabab mtupu!

ffffffffffffffffffff.jpg

An ex-convict even!

rage270308.JPG
 
Alipokubali kutumiwa na mwigulu kupeleka timu jimboni kwake alidharaulika. Simba haina chama.

Umenikumbusha siku ile Mwigulu na Rage walipoigeuza Simba kama timu ya mchangani na wachezaji wake ni kama wale tunaowaita Ndondo.
 
Back
Top Bottom