daniel kalasha
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 548
- 72
tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwan ni mhamiaji haramu?
Jukwaa linafaa kabisa simba nao wanajitakia huyo ni mtu gani? mimi ninafikiaga kusema wanachama wa Simba na wapiga kura wa Tabora mjini wote akili zao ziko matakoni Rage ni mtu gani wa kumchagua kuwa kiongozi?
Kwan ni mhamiaji haramu?
huyu msomali bola atoke tu atuachie simba yetu hatufai
Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.