Vipi hakutoa ile Bastola yake katika hicho kikao au hakuwepo wakati wananchinjia baharini?Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.
Angalau sasa tutapumua, klabu yetu iligeuka na kuwa KILABU
iyo ishu hapa sio sehamu yake peleka kule kwenye jukwaa la michezo
Mzee wa Alshabab mmemtoa?? Mtatuletea balaa...! Duh ILA Simba mlipata garasa pale
Umenikumbusha siku ile Mwigulu na Rage walipoigeuza Simba kama timu ya mchangani na wachezaji wake ni kama wale tunaowaita Ndondo.
!
!
yaani tulikosea hata kumweka mwenyekiti huyu bwana,huyu abaki na ubunge wake baasi
Jukwaa hili limekuja kuwaje?