you are very narrow minded and so myopic mkuu, hivi unadhani kupenda kwangu mpira kumebanwa na usimba na uyanga? Kwanza nikufahamishe kuwa me wala siyo shabiki wa timu yoyote ya mpiratanzania, soka gani kama soko? Tunalaumu rafu wewe unakazana na utimu?
If you say so!!!!!!!lie liar
Hapa alikuwa ameshtukia mpiga picha alitaka kumpiga picha akilipuliza ndo akaamua kukificha kipisi chake kwenye pindo la jeans, TFF embu anzisheni ule utaratibu mlioutangaza ili watu kama hawa wawe eliminated kabisa,yaani nimemchukia sana tena sana!
Huyu jamaa bangi zitamuua tu siku moja!
rafu kidogo tu yanga mnachachawa..mmesahau walicheza wachezaji wenu au mmesahau kuwa kijiko mwaka jana alimvunja mguu mwinyikazimoto acheni unazi wa kijinga au mmesahau mlivyo mvunja kidole cha mguuni Machaku mwaka jana..
acha kuchanganya mambo; toa comment kama mtu alieenda shule.
Wewe ulitaka ampe kadi ya rangi gani? Mbona rafu za chuji na mbuyu twite na Nizar kumshika dogo kwenye "penalt box" huziongelei au ndiyo mahaba yamezidi.Na akaishiaa kupewa kadi ya njano!!!!sijui refa walimpa kiasi gani!!!huo sio uungwana kabisa sina hakika kama walimpima huyo mwana mabangi...
Hatuwashangai mpira umewashinda umebakia kutukana watu, nyinyi ndio wale wanaotukana watu mchana jioni hamna hata sehemu ya kuweka mbavu, kula kulala kwa shikamoo.Yaani hata hapa pichani anaonekana ni mzee wa dope....nadhani ni maagizo ya msomali aliyesema mkataba wa Yondani Yanga ni toilet paper....
Hatuwashangai mpira umewashinda umebakia kutukana watu, nyinyi ndio wale wanaotukana watu mchana jioni hamna hata sehemu ya kuweka mbavu, kula kulala kwa shikamoo.
Mkuu Crashwise ikiwa walisahau wakati mchezaji wao alipopewa kadi tatu nyekundu wakasema kapewa mbili tena ndani ya mwezi mmoja, watakumbuka ya mwaka jana!Unataka kunambia mkuu alikuwa analipiza kisasi cha ya mwaka jana? Hapo ndo Genecius Kaiza anaposema mpira wa kibongo kama soko.
Ngojea mechi ya marudiano utapewa wewe filimbi na kadi nyekundu tupu.that was a straight Red Card foul lakini refa sijui alikuwa anawaza nini hata hakuona rafu mbaya kama hiyo...lakini cha ajabu anaenda kutoa Red Card mchezaji wa Yanga aliyejirusha kukuza ukubwa wa rafu!
Kwani wanakumbuka, kusoma hawajui hata picha hawakuona.Labda alitaka kufanya ngazi kuelekea upande wa pili. Rafu mbaya nyingine ni ile ya Stephen Mwasika dhidi Ngasa na ile ya Chuji dhidi ya Christopher. Mzee tuwekee na hizo picha, maana nimemsika Shafii Dauda
kwani wewe ni wa kike kwanini unang'ang'ania kumpenda mwana umme mwenzako acha usho..
rafu kidogo tu yanga mnachachawa..mmesahau walicheza wachezaji wenu au mmesahau kuwa kijiko mwaka jana alimvunja mguu mwinyikazimoto acheni unazi wa kijinga au mmesahau mlivyo mvunja kidole cha mguuni Machaku mwaka jana..
Kwani wanakumbuka, kusoma hawajui hata picha hawakuona.
Ikiwa hata offside trick hawajui wanataka kufunga tu, ndiyo maana wachezaji wao wakienda Nchi za watu wanaojua mpira hawafanyi lolote, wakirudi hapa wanasingizia ooh Misri kuna baridi ndiyo maana tunafungwa. Kama uongo wanitajie "professional players" wao hata mmoja tu anayetamba Duniani kama wa Simba wanaotamba Mambele kwa sasa.
Wanamfananisha na Thomas Mlambo wa supersportKuna watu wanamuonaga Shaffih kama Small GOD vile,kila anachosema yeye wanaona ndo sahihi 100%