Ngasere45
Senior Member
- Dec 31, 2022
- 149
- 565
wakuu leo nimekaa nikakumbuka miaka flani hivi nikiwa nasoma chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tz
Nilianzisha mahusiano na mwanadada mmoja ambaye alikuwa hasomi chuo yeye kwa wakati huo, siku moja nikampeleka geto kwangu nikakaanaye geto kwa siku mbili, baada ya kuondoka nakumbuka nilienda kibandani kuchukua ndizi mbivu ili nije kula, nikakutana na rafiki yangu wa kitaa hapo chuo akaniambia huyo demu hakikisha uuzi mechi kwani ni muathirika
wakuu sikuwahi kupata mshtuko mkubwa kama siku hiyo, nilikaa nikasema kama ni kifo acha nife tu, ila niliamua nimuambie kwamba kwanini kaamua kuniua demu akabisha akaniambia tukapime, tukaenda kupima wote tukawa negative, wakati tunarudi tukakutana na huyo jamaa demu akaniambia jamaa alimtongoza for two years akamkatalia daah nilimuona jamaa ni boya sana