Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,213
- 1,077,437
Asante sana mkuu kwa kuchukua muda wako kufupisha hii habari. Asante sanaNi hiv, huyu mdau ana washkaji zake wawili.wote hawataki kazi kutwa kucha kushinda maghetoni kucheza cheza forex. Jamaa zake wawil wote ni domo zege hawana madem ila wana act ni walokole full maji ya upako kumbe tu wameshindwa kumilik pisi.
Sasa ikatokea jamaa zake hao wawil walipata mgeni mtoto wa kike wa dada yao wakamtani.binti ni bikra ila alishaolewa before.Mixer wana ugwadu na sound hawana ila ndio wameanza kutamaniana hawa ndugu zikaanza sarakasi humo ndani mara bint kapandisha mapepo mara nin sijui kimsng mama yao akagundua akamuondoa huyu bint kampeleka mikumi kufanya kazi.Wadau waka mind huku wao kazi wanayofanya ni kucheza forex af wanataka mama yao awalee wao akalee na kadem kao kana kwamba maisha ni rahis.
Ila jamaa hawakufanikiwa kukatafuna hako katoto