Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,126
Hukuwa na future nae kwa sababu ya tofauti ya umri wenuAge is nothing kwenye maisha na mahusiano kiujumla wake. As long as mmependana I don't mind. Niliwahi kumla mdada mkubwa kiumri kwangu na alinipenda sana. Ila nikampotezea coz niliona sina future nae. Na by then sikuwa motivated na pesa au kazi. It was happened naturally. Ila kwa vijana wa sasa hivi ambao mmeweka pesa mbele, na huu msoto jamaa yako hapo hapindui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatafuta laana nyie vijana yaani mnalala na mama zenu45 tuu mdogo ivo bado mtamu mi nipo na 55 older na tuna enjoy kama vijana kizuri ni kwamba hana watot wanaonizid mim kiumri,hana mume wameachana hana magonjwa ya zinaa so ni full bata ila sina future nae wala sina time na ela zake ni kwa ajil ya ku enjoy life
Sana aiseeeeeJF kweli siku hizi kumejaa vitoto.
hii ni wewe lakini umeamua kusingizia
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Kwani amemzaa mkuu ?Emanuel macron rais wa France kaoa mmama anamzid umri kwelikweli
Kwa hiyo huyo ndio rolmodo wenu? Na hivyo vibinti piaKwani amemzaa mkuu ?Emanuel macron rais wa France kaoa mmama anamzid umri kwelikweli
Je vipi kuhusu vibint vinavyotembea na wazee ? Au umeona upande mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanarika au hata 20's vs 40's?Penzi la kweli hukolea kwa wapenzi wenye umri wa kuanzia miaka 45 na kuendelea, chini ya hapo ni majaribio ya kupendana
Gari bovu huvutwa na gari zima, so mwenye 20 anamkokota mwenye 40s ila likiwaka hukimbia kuliko gari zima
Gari bovu huvutwa na gari zima, so mwenye 20 anamkokota mwenye 40s ila likiwaka hukimbia kuliko gari zima