Rafiki yangu kapendwa na bibi wa miaka 77, nimshauri vipi?

livewise1

livewise1

JF-Expert Member
May 25, 2019
641
1,000
Wakuu, nipo na jamaa hapa ananionesha chatting zake na maza wa miaka 43 anampenda jamaa kinyama na yupo tayari kumsapoti kimaisha jamaa.

Jamaa ni 20's-30. Na anajishauri akubali au aibu kwa watu.

Bi mkubwa anamwambia yupo tayari kumzalia mtoto 1 tu na atampa sapoti kupata kazi ya kudumu.

Jamaa afanyeje unadhani? (Mi nacheka tu nimeshindwa cha kumwambia) maana daaah, maza wa 77 una-date naye kiaje, hata feelings zitakuja kweli? (Hapo we ni mid 20's)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Drizzle

Drizzle

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
2,992
2,000
Age is nothing kwenye maisha na mahusiano kiujumla wake. As long as mmependana I don't mind. Niliwahi kumla mdada mkubwa kiumri kwangu na alinipenda sana. Ila nikampotezea coz niliona sina future nae. Na by then sikuwa motivated na pesa au kazi. It was happened naturally. Ila kwa vijana wa sasa hivi ambao mmeweka pesa mbele, na huu msoto jamaa yako hapo hapindui.

Nami naona anahofia tu watu kumuona namna gani ila nafsi yake naona kabisa keshakwama na ana defend kuwa si atapewa mtaji badae amwache! Najiuliza je akipigwa chuma??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aise

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
2,090
2,000
Mwambie akubali, hilo ni zali la mentali.
Vijana wanakwambia "pele limempata mkunaji".
Kwa sababu atakuwa amepata mtu mwenye uzoefu na mambo mengi!

Hiyo ni ngekewa, imepita viwango vya bahati.
Huo siyo umario!
 
livewise1

livewise1

JF-Expert Member
May 25, 2019
641
1,000
Asee...duuh
Mwambie akubali, hilo ni zali la mentali.
Vijana wanakwambia "pele limempata mkunaji".
Kwa sababu atakuwa amepata mtu mwenye uzoefu na mambo mengi!

Hiyo ni ngekewa, imepita viwango vya bahati.
Huo siyo umario!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom