Wachu macheke
Senior Member
- Oct 8, 2024
- 171
- 347
Huyo jamaa ni wewe.Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta akirudisha mahusiano huku akijua fika mke wake anamchiti, japo amesema anampango wa ku muvu lakini anaomba ushauri afanye nini kujiepusha na huyo mke kwa mda huu ambao bado anajipanga kuondoka
Huu ushauri utamfaa kabisaAmfanye tu mchepuko
Sio mimi mkuu mimi ni mwenye kiti wa kataaa ndoaKwani ukisema ni wewe kuna shida Mkuu?(Kidding)
Avumilie tuu na akae uchi!Rafiki yangu kamususa mke baada ya kugundua anamchiti na mke amegoma kuomba msamaha ila jamaa amesema huyo mke wake anakaa uchi kama njia ya kumrudisha jamaa kwenye mstari na huyo jamaa amejikuta akirudisha mahusiano huku akijua fika mke wake anamchiti, japo amesema anampango wa ku muvu lakini anaomba ushauri afanye nini kujiepusha na huyo mke kwa mda huu ambao bado anajipanga kuondoka
Ningekuwa ni mimi ningesema tu mkuuHuyo jamaa ni wewe.
Yaani tukushauri muachane halafu mkirudiana utuseme sisi ndo tulikishauri.
Sijaelewanaa amuleke yoza kumwicha.
ππππKwani ukisema ni wewe kuna shida Mkuu?(Kidding)
Aendelee kuichapaMke ana-cheat na mme amejua? Lakini,akiona mapaja yametegwa wazi tu,akili zinamuhama?Sasa anataka ashauriwe nini hapo?