Haina makombo na bado haijamilikiwa rasmi kisheria.. Hivyo ni sadakalawe... Chama la wana..!!! Kila mmoja ajipakulie minyama kwa wakati wake! Hakuna kunogewa lakini
Hebu muulize huyo rafiki yako kama hako katoto kangemwambia kana mpenzi wake afisa usafirishaji asingepiga? Au angepiga akasepa? Au angepiga alafu akamchomoa kwa ndugu afisa?!