Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

Ugoni sio suala la polisi bro

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Basi watu wana mioyo yaani nimfumanie mwanamke then niwe na mpango wa kuendelea nae wa nini? Yaani nikishamfumania ndo mwisho wa safari yetu.
 
Picha ya huyo mwanamke unayo utuwekee pengine nilitoka naye.
 
Pole Sana yaan mkeo alimleta mwanaume ndani kwako aje amtafune akijuwa kuwa umesafiri duh mbn ilikuwa ufanye mauaji kbsa ya kimbari
Na nilimuacha sijamgusa hata kwa ukucha mkuu,, nilipata nafasi ya kutafakari kabla sijafanya maamuzi kwanZa niliwaza je kabla ya kuwa na mke sikuwahi kuwa na mwanamke? Pili nikatafakari harakati zangu za kutafuta tonge nikaona naishia nyuma ya kuta ndefu huku bunduki zikinizunguka nikacheka Sana nikamwambia ibilisi kaishia kwako Kama amepitia kwako ili anipate nasikitika maana kashanikosa Mimi nawewe Basi na katika hili sihitaji mzee yeyote kunishauri maana nilikuoa Mimi
 
Basi watu wana mioyo yaani nimfumanie mwanamke then niwe na mpango wa kuendelea nae wa nini? Yaani nikishamfumania ndo mwisho wa safari yetu.
Mkuu nimeshuhudia "goni" nyingi watu wanafumania kisha wanaendelea na wake/ waume zao forever!
 
Mleta mada acha kiherehere, acha kujiingiza kwenye ishu zisizo kuhusu, Kuna msela mtaani amekula miaka 15 kwa kimbelembele kama chako.

Waliandaa fumanizi wakafaikiwa, baada ya kumkamata jamaa wakamgonga huku wakijiona wajanja.

KIlichowakuta ni kuwa Mume wa demu kala miaka 30, wapambe wake wawili chupuchupu kwa kuponea wamekula 15 kila mmoja.

FUNZO: UKIGUNDUA MKEO ANACHEPUKA NI MAWILI TU, ACHANA NAE TAFUTA MWENGINE AU KAMA UNAWEZA KUENDELEA NAE HIYO NI HIYARI YAKO. LAKINI KUJARIBU KUJIFANYA KIDUME UNAWEZA KUISHIA KUINGIA KWENYE MITIHANI MIZITO.
 
Liverpool VPN ana wambia Kila siku acheni kuoa mtakufa kabla ya muda wenu nyie hamsikii ndiyo kwanza mnazidi kuhamasisha wengine waoe Kwa kuwa uliza wataoa lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…