Usiwatishe.Waache wafurahishe nafsi hata kwa kidogo sana watakachopata.Akilacho mtu hakina hila machoni.Eti fumanizi!
Kama jamaa yako kaoa kahaba unategemea nini?
Na hapo siyo fumanizi bali ni kujidhalilisha tu.
Na tatizo la kesi za fumanizi zipo kwenye kundi la kesi za madai na si jinai, hivyo haifungi wala kuweka mtu ndani.
Kwa hiyo usiishupalie sana ukadhani kuna kitu jamaa yako atapata baada ya kufumania, sana sana ni ndoa kuvurugika tu.
Tena mtakayemfumania kama anaelewana vizuri na mkewe,ile mtakapomaliza mtoza faini huyo mgoni, basi mke wa mgoni atajitokeza na kumshika ugoni mke wa jamaa yako kwa kosa la kuzini na mumewe na atawalamba faini kubwa kuliko mliyomtoza nyie!
Na huo ndio mchezo wa hayo mambo, vile ambavyo unakuwaga.
Shauri zako, usije kusema hatujakueleza.
Eti fumanizi!

MWAMBIE aelewe.matatizo yasikie kwa mwenzako.
hizo habari zako unaona rahisi sana.kuna jamaa kama wewe alikuwa anaongea hayo siku alipokuja kugundua mke wake anatafunwa na mimba sio yake.kwa aibu ya kejeli kuona yeye mstaarabu na mjanja kama wewe jamaa alijipiga kintanzi.
Sikia ndugu, hapa nimeeleza kizoefu na si kwa mihemuko.matatizo yasikie kwa mwenzako.
hizo habari zako unaona rahisi sana.kuna jamaa kama wewe alikuwa anaongea hayo siku alipokuja kugundua mke wake anatafunwa na mimba sio yake.kwa aibu ya kejeli kuona yeye mstaarabu na mjanja kama wewe jamaa alijipiga kintanzi.
Unaelezea kwa kadiri ya taratibu za kisheria?Hapo ndipo mnatofautiana.Kufumania ni zaidi ya hizo taratibu zako za kisheria.Sijui unaelewa?Sikia ndugu, hapa nimeeleza kizoefu na si kwa mihemuko.
Haya jamaa kakamata ugoni, unadhani mwisho wake huwa ni nini?
Kama unaifahamu sheria juu ya mambo hayo, eleza kwa ufanisi ni manufaa gani mfumaniaji anaipata baada ya kufumania.
Mimi hizo kesi si mgeni nazo isee.
Ugoni ama fumanizi, kisheria ni kesi ya madai periodUnaelezea kwa kadiri ya taratibu za kisheria?Hapo ndipo mnatofautiana.Kufumania ni zaidi ya hizo taratibu zako za kisheria.Sijui unaelewa?
Kwako weye na sheria zako.Wengine siyo hivyo.Mwanaume wa Kiafrika muibie chochote uibacho,siyo mke.Sijui bado unaendelea kuelewa?Ugoni ama fumanizi, kisheria ni kesi ya madai period
Hayo yanafahamika ni popote duniani, lakini point yetu hapa ni kwamba, sheria zinasemaje kuhusu kosa hilo?Kwako weye na sheria zako.Wengine siyo hivyo.Mwanaume wa Kiafrika muibie chochote uibacho,siyo mke.Sijui bado unaendelea kuelewa?
Zinasema kama ulivyoeleza awali hapo juu Lakini,muelewe aliyeleta uzi.Ni nini kinakushinda kumuelewa?Hayo yanafahamika ni popote duniani, lakini point yetu hapa ni kwamba, sheria zinasemaje kuhusu kosa hilo?
Nimemuelewa kwamba wanataka kuandaa fumanizi.Zinasema kama ulivyoeleza awali hapo juu Lakini,muelewe aliyeleta uzi.Ni nini kinakushinda kumuelewa?
Sawa.Tuendelee kuwashauri.Nimemuelewa kwamba wanataka kuandaa fumanizi.
Ndo nikasema aheri kuzuia hilo fumanizi kuliko kuliruhusu maana fumanizi halina faida na ni kesi ya madai, sana sana ni kuivuruga ndoa.
Kwa hiyo amuachie Mungu!Atamchunga hadi lini!!!