Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Pole sana Mkuu naunga mkono uamuzi wako wa kutoendelea na mipango yako na huyo kiruka njia.

Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kilimatinde kama ni kweli yamekutokea haya pole sana kaka. Umefanya jambo la busara sana na hapo hakuna kurudi nyuma, kwa sababu hata ukioa hapo hutokuwa na Amani kwenye moyo wako. ni bora yaishe tu.
 
Pole sana Mr. Ila usiumie sana...sometimes mwenyezi Mungu anatufunulia yale tusiyoyajua kwa sababu maalamu.

Sema asante sir God, then move on.....#maisha lazima yaendelee#
Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,lakini unaamini vipi kwamba huyu jamaa anasema ukweli?
nahisi uzi umejaa uhaya flani..kuna sehemu anatudanganya,wakwe wanampigia kumuomba msamaha??


Sasa umejuaje kama anadanganya?

Inamaana wakwe hawawezi kumuombea msamaha binti yao?

Hujui kama binti akiachika familia inaaibika? Sasa kwanini wazee wasiombe msamaha ili kujikinga na aibu hiyo

Imagine huyo ni mchumba mahali kalipa kwao wanamtambua vizuri na huenda kuna mipango ya ndoa wazee wanashindwa vipi kuingilia hili suala na kumsihi kijana waendelee?

Heri nusu shari kuliko shari kamili Mkuu Mwenyezi Mungu kakuepusha na majanga na rafiki yako angemjaza mimba basi angekubambikia weye.


Heri shari kamili kuliko nusu shari.
 
Mwanaume akimfumania mwanamke hata angekuwa kimada huwezi kuendelea nae, tafuta mwingine maisha yasonge ukikaa bila mpenzi mawazo yatakuumiza sana na waweza jikuta unamrudia.
Hao ndugi zake mpenzi wako hawana aibu? Hivi nao siyo watu wazuri kaa nao mbali
Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke yupo kwa ajili ya mwanaume 1 tu kwa wakati, ila Mwanaume yupo kwa ajili ya wake wengi. Hiyo ni nature huwezi kupingana nayo au mama/bibi yako hakukufundisha hivyo pindi ulivyowekwa ndani?
Ila ninyi likitokea kama hili mnatarajia kusamehewa na msiposamehewa mnashangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Mkuu shari kamili jamaa angebambikiwa ubaba halafu kila akimuangalia mwanae kafanana sana na rafiki yake mpenzi na hapo ndoa tayari.

Sasa umejuaje kama anadanganya?

Inamaana wakwe hawawezi kumuombea msamaha binti yao?

Hujui kama binti akiachika familia inaaibika? Sasa kwanini wazee wasiombe msamaha ili kujikinga na aibu hiyo

Imagine huyo ni mchumba mahali kalipa kwao wanamtambua vizuri na huenda kuna mipango ya ndoa wazee wanashindwa vipi kuingilia hili suala na kumsihi kijana waendelee?




Heri shari kamili kuliko nusu shari.
 
Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.


Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwanaume wa kweli keep it up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa umejuaje kama anadanganya?

Inamaana wakwe hawawezi kumuombea msamaha binti yao?

Hujui kama binti akiachika familia inaaibika? Sasa kwanini wazee wasiombe msamaha ili kujikinga na aibu hiyo

Imagine huyo ni mchumba mahali kalipa kwao wanamtambua vizuri na huenda kuna mipango ya ndoa wazee wanashindwa vipi kuingilia hili suala na kumsihi kijana waendelee?




Heri shari kamili kuliko nusu shari.
Upo sahihi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom