kilimatinde
Member
- Feb 9, 2019
- 70
- 133
- Thread starter
- #81
Ulitakaje Mkuu? kama huamini ni uamuzi wako hulazimishwi! Na hapa si mahakamani mpaka upate maelezo ya pande zoteHii stori ina uwongo na ukweli,pia ni habari ya upande mmoja,mimi nilishakataa kabisa kuamini habari za upande mmoja..hadi aje shemeji nae hapa atoe ushuhuda ili tujue sababu ya haya unayoyatolea shutuma...usikute wewe ndio ulikuwa tatizo na ndio umeachwa unajifariji hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app