Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Mshukuru Mungu kwa jambo hilo kutokea mkiwa kwenye uchumba. What if ungekuwa umeshafika kwenye ndoa?
wakikufuata kukubembeleza washauri aolewe na huyo rafiki yako.
Ni kweli Yule jamaa aliekuwa anakula mzigo awambie wazazi wake amemuachia rafiki yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii story naijua! Umeipindua pindua flani hivi kuficha uhalisia! Naifahamu fika Na hata sehemu ya mazungumzo yenu ni nanayo! ..si alikanusha lakini Huyo "mpenzi" wako Na akakuapia nothing happened?
Hahaa ongezea basi kwa iyo anadai walikuwa wanapiga story kanga moko na taulo chumbani
 
Duuh! Kweli wanawake hampendani yaani huna hata huruma kwa mwanamke mwenzio!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
We emu fatilia post zangu hamna mtu huwa anatetea wanawake kama mm ila mwiko siteteeg ujinga suala la kulalwa na mtu siliteteag hata mm mmewangu anasafir isitoshe hajamuoa ya nn kujifunga na nira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah broh yaan nimesoma uzi huu kwa emotions za haliya juu,, yaan najaribu kuvaa viatu vyako kihisia....

Pole sana asee, kimsingi fwata moyowako unapenda sivinginevyo,,,

Shukuru Mungu kakuonesha mapema kuwa mke wako na rafiki yko wote ni wanafiki
 
Daaah !!! Sitaki kuamini kwamba " patakuwa na wazazi wasiojielewa kiasi hicho

Hivi kweli mtoto wako anafanya madudu kama hayo " Halafu unadiriki kuongozana nae mpaka kwa mkwe wenu nakuanzq kumuomba msamaha mkweo " Amsamehe mwanao " wakati ametenda ujinga mkubwa kiasi " hivi huo USO uliokosa haya kiasi hicho hawa wenzetu huwa wanautoa wapi khaa !!!!!!!.... Yaani kwa tukio kama hilo hizo guts za kumuangalia mkweo usoni unazitoa wapi !?,-----

Kwa watu wanao tambua umuhimu wa maadili huyo mwanamke ame watukanisha kwa kiasi kikubwa mno wazazi wake Yaonesha wazi kwamba kwao hajafundwa "......

Mtoa mada hiyo family ya wakwe walio kosa haya kiasi hiyo sio family ya kuoa " kama unataka kujitia matatizoni hapo baadae " jiingize kwenye hiyo family utakuja kuyakumbuka haya ni ya nenayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom