Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, jaribu kufanya tathmini upya ya marafiki zako na ubadili vigezo unavyoviangalia wakati wa kuchagua rafiki
 
Unaweza ukawa muaminifu mwenyewe...Yakakukuta Kama haya..

Pole Mkuu..Bora ulilijua mapema kuliko ungelijua huko baadae..Baada ya kuhalalisha
 
Ndio mana sina marafiki nina watu tunaofahamiana tu
 
Yani hapa ndowengi wanakwama sinasababu zakutosha kumlaum mwanamke kwakuwa hatujui umekaa mda gani lakini kwautafiti wangu mdogo nimegundua wanawake wengi hata wale waaminifu ikitokea akajenga mazingira yaukaribu sana namwanaume lolote linaweza tokea msamehe kaka mpe nafasi zungumza nae kama kweli anaomba msamaha wadhati ukakataa kumsamehe jiandae huko mbeleni
 
Pole sana mshukuru Mungu kwa kila jambo songa mbele kuna maisha baada ya kuachana.
 
Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii stori imetungwa, ila imependeza
 
Habari wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandika nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarehe 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumbani nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu. Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa na funguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mimi nikamsukuma na kuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mimi nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea, alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home, hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea, nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena.

Alinishauri nikutane naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kabisa, huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana, sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhila zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani hapa ndowengi wanakwama sinasababu zakutosha kumlaum mwanamke kwakuwa hatujui umekaa mda gani lakini kwautafiti wangu mdogo nimegundua wanawake wengi hata wale waaminifu ikitokea akajenga mazingira yaukaribu sana namwanaume lolote linaweza tokea msamehe kaka mpe nafasi zungumza nae kama kweli anaomba msamaha wadhati ukakataa kumsamehe jiandae huko mbeleni
Point ya Muhimu Sana... Wanawake Ni viumbe Dhaifu Sana... Ndo maana Kuna wakati Mungu anahukumu Mwanaume kwa Kutembea na Mke wa Jirani yake....!!!
 
Mkuu umefikia wapi na huyu demu
 
Yani hapa ndowengi wanakwama sinasababu zakutosha kumlaum mwanamke kwakuwa hatujui umekaa mda gani lakini kwautafiti wangu mdogo nimegundua wanawake wengi hata wale waaminifu ikitokea akajenga mazingira yaukaribu sana namwanaume lolote linaweza tokea msamehe kaka mpe nafasi zungumza nae kama kweli anaomba msamaha wadhati ukakataa kumsamehe jiandae huko mbeleni
Katika uchumba! Big no
 
Wazazi wengine wana roho ngumu yani mtoto wako afumaniwe live halafu unaenda kumbembeleza mtu aoe.
we unajua binti kawaeleza nini wazazi wake?
ukute kapindua maelezo
 
Back
Top Bottom