Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,032
- 2,669
Inaonekana hauzifahamu hesabu za function.Ila ninyi likitokea kama hili mnatarajia kusamehewa na msiposamehewa mnashangaa
This is 1 to 1 f(x)
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hauzifahamu hesabu za function.Ila ninyi likitokea kama hili mnatarajia kusamehewa na msiposamehewa mnashangaa
Umesomeka mkuuMahari ni kifungo kati yako na yeye (kimila), hivyo fanya taratibu za kupata hilo.
Hata wakilipa 10,000/- inatosha kiwakilisha kwamba mahari imerudi.
HakikaMshukuru Mungu kwa jambo hilo kutokea mkiwa kwenye uchumba. What if ungekuwa umeshafika kwenye ndoa?
wakikufuata kukubembeleza washauri aolewe na huyo rafiki yako.
Hahahaaa! Kama sijajidhuru mpaka leo maana yake limelimudu tayariPole ya mdomo haitoshi, anahitaji faraja asijidhuru.
Nitakutafuta....
Weka basi hapa kile unachojuaHii story naijua! Umeipindua pindua flani hivi kuficha uhalisia! Naifahamu fika Na hata sehemu ya mazungumzo yenu ni nanayo! ..si alikanusha lakini Huyo "mpenzi" wako Na akakuapia nothing happened?
Namfuata PM nikamfute machoziPole ya mdomo haitoshi, anahitaji faraja asijidhuru.
Itakua umbea! After all mtoa mada kakanusha!Weka basi hapa kile unachojua
Hahahaaa! Hata sikukumbuka kuzibeba niliziacha sehemu ya fumanizi, akija pm tutaanza upyaKabisa, halafu hata zile zawadi za Naii bado ziko home tu.
Hahahaaa! Hata sikukumbuka kuzibeba niliziacha sehemu ya fumanizi, akija pm tutaanza upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa! Hata sikukumbuka kuzibeba niliziacha sehemu ya fumanizi, akija pm tutaanza upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka aje
Nashindwa nikushauri niniHbr wana MMU ?
Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.
Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.
Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.
Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.
Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.
Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.
Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.
Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.
Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .
Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.
Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.
Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?
Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?
Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.
Sina mpango naye tena hata aje nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umemkuta live anaanzaje kukataa sasa.
Nasikiaga mahari isiporudi ni msala, hivi ni kweli?Usidai yote, iwe kama uwakilishi kwamba mahari imerudi, mbele ya walewale waliokuwepo kupokea.
Hata wakikupa 10,000/-, inatosha kukata tie kati yako na hiyo familia, unabaki huru bila kifungo cha kimila.