Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Rafiki yangu amevunja uchumba wangu

Na imeandikwa kuwa Mwanamke aliumbwa kwaajili ya Mwanaume wala si Mwanaume aliumbwa kwaajili ya Mwanamke, "bible verses"
Mwanamke yupo kwa ajili ya mwanaume 1 tu kwa wakati, ila Mwanaume yupo kwa ajili ya wake wengi. Hiyo ni nature huwezi kupingana nayo au mama/bibi yako hakukufundisha hivyo pindi ulivyowekwa ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hilo hata mie nimewahi kufika stage ambayo ilibaki nikufunga ndoa tu. Nilikuwa mbali simu yake ikawa haipatikani kwa siku kama 3 hivi. Akanitafuta kwa namba nyingine akaniambia kapoteza line ila simu anayo. Nikajiuliza unapotezaje line unabaki na simu kwanini visipotee vyote? Nikawa naendelea kuipiga ile namba siku moja ikaita na akapokea mwanaume baada ya mahojiano akasema ni simu ya mpenzi wake. Siku hiyohiyo ndio ikawa kwaheri japo yeye na ndugu zake walishawishi lakini ilishindikana. Baada ya miezi 3 ikagundulika ana mimba ikawa hakuna tena wa kunishawishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume tunapitia magumu sana ktk kuwatafuta wenzi sahihi wa maisha, pole sana Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya kufumania siyataki kuyasikia tena kudadeki, kuna rafiki yangu alinipigia simu niende nikamsaidie. Nilikwenda na rafiki yangu mwengine tukawa tupo 3 kufika eneo la fumanizi jamaa akafungua mlango. Kuingia ndani ile njemba sio ya nchi hii kudadeki inapiga karate kama Bruce lee madafanta, hata sijui tulitoroka vipi mule ndani

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
pole ndugu. kwa maamuzi uliochukua ni sahihi kbsa na pia huo ndo uanaume.

Usimlaumu rafiki yako tu, pia demu wako amechangia. Hapa nilipo nina mke wa rafiki yangu najua bila shaka ananitaka na kiukweli anamvuto juhudi nazotumia kumkimbia Mungu pekee anajua nipo tayari hata kupunguza urafiki na mshkaji wangu lakini siwezi kudhubutu kuingilia uhusiano wake.
 
Muulize why ujue kilichompelekea kufanya hivyo! Bila ya kujuwa sababu inaweza ķuja kutokezea tena kwa mchumba wako mwengine.
 
Hiyo ni issue ya kujadili siku nyingine, tumalizane na hili lililopo mbele yetu kwanza.

Hivi unajua kama hata kadude katagoma kusimama ukijifanya umesamehe.

Kweli kabisa, mimi nilisamehe ila nikawa nikikutana naye faragha kinachonijia akilini ni ile picha na perfomance inapungua kwa zaidi ya 70%, mwishoni nilimwacha, wanawake wanatakiwa kuwa makini kwenye hizo hatua.
 
Huwa ni automatic hiyo kitu.
 
Ni makosa ya kibinadamu mkuu. Mwanamke naye ni binadamu. Km mwanaume anavokutwa na mchepuko anaomba msamaha kwamba ni shetani kampitia sasa mbona mwanamke anaonekana ni shetani herself?

We ni mwanaume wa wapiii? nature ndio inayomkataza mtu sio yeye, Ile inakua picha isiyofutika na kuacha alama, labda wanawake huwezi kusamehe kabisa!
 
Hbr wana MMU ?

Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Naandiki nikiwa na uchungu mkubwa sana moyoni mwangu.

Ilikuwa tarh 2/1/2019 siku moja tu baada ya mwaka mpya nilirudi nyumba nikitokea Nairobi nilipokwenda kwa shughuli zangu binafsi, nilipofika home nikaoga na kuamua kutoka kwenda nyumbani kwa mpenzi wangu. Huyu mpenzi wangu tulikuwa tumeshaenda mbali sana kiasi cha kuwa nimeshalipa na mahali kwao.

Sikutaka kumpa taarifa kama nimerudi ili nimfanyie surprise kama mjuavyo tena surprise ni kitu cha kawaida kwa wapenzi.

Nilibeba vijizawadi ambavyo nilimnunulia nilipokuwa Nairobi, nikashika njia huyo mpaka home kwake, ilikuwa inaelekea saa tatu usiku Mara huyo nikafika. Nilipokelewa na house girl.

Nilipoingia sebuleni tu house girl akaninong'oneza kuwa mtu yupo chumbani na mpenzi wangu.
Sikuamini Maneno yake nikaelekea chumbani kwa speed kujaribu kufungua mlango ulikuwa umefungwa nafunguo, nikaamua kugonga ilichukua muda kidogo mpaka mlango unafunguliwa.

Alipofungua mlango tu mm nikamsukuma nakuzama ndani, wakati huo yeye alikuwa na kanga moja tu, mara nikakutanisha uso na rafiki yangu kipenzi akiwa kajilaza kwenye Kitanda cha mpenzi wangu huku akiwa kajifunga taulo ambalo huwa nalitumia mm nikilala kwa mpenzi wangu.

Sikuamini macho yangu, nilisimama kwa dakika kadhaa nikiwa sijui cha kufanya baadae nikaamua kuondoka bila ya kusema neno.

Baada ya kuondoka mpenzi wangu alinipigia simu kwa kweli sikupokea alipiga mpaka akachoka. Siku moja baada ya tukio aliamua kunifuata home hakuja peke yake alikuja na wazazi wake kwa kweli niliwafukuza sikuwa tayari kuongea lolote.

Baada ya wiki kupita niliitwa na mshenga akaniuliza kilichotokea nilimueleza kila kitu alichonijibu kama hayo ni kweli huyu hakufai tena .

Alinishauri nikutana naye mbele ya wazazi wake nimpe msimamo wangu, sikusita nilikutana nao nikawaeleza kuwa sitaweza kuendelea tena na binti yao. Mambo yakawa mengi wakaanza kunisihi nisamehe kwa kweli nilishindwa nikainuka na kusepa zangu.

Tangu siku ile wananisumbua sana kila siku kunitumia watu ili niendelee na binti yao kiukweli siwezi kuwa mnafiki moyo wangu hauwezi hili kbsa. huwa sina unafiki kabisa.

Mimi ni mwamnifu sana sijawahi kuwa na mahusiano nje yake iweje Leo yeye anifanyie hivi?

Rafiki yangu kweli umeamua kunifanyia unyama huu woote? Hukumbuki fadhira zangu? Bila Mimi ungekuwa hivyo? Ungekuwa hapo ulipo?

Nimeandika haya kwa lengo la kuwashirikisha ili nitue mzigo wa uchungu nilionao moyoni mwangu.

Sina mpango naye tena hata aje nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanaume anajisifia eti yeye mwaminifu mbele ya kadamnasi isiyomjua mpenzi au mkewe,huo ni uongo tunasemaga tukiwa na watu wanaowajua wenza wetukwa lengo la kuwatunzia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu azidi kukubariki mkuu na kumbuka kua uamuzi sahihi ufanywa na watu sahihi
 
Back
Top Bottom