Rafiki yangu amepata kazi ya kufunza chekechea Tanzania, ukiwa na pesa hizi Dar utaishi wapi?

fired

Senior Member
Apr 4, 2021
151
310
Rafiki yangu amepata kazi ya kufunza chekechea ya shilingi za TZ elfu mia moja thamanini huko Dar es Saalam. Ukiwa na pesa hizi Tanzania utaishi wapi kwenye usalama maji na stima. Na familia ya watu sita, nasikia ni pesa nyingi huko Tanzania
 
Duh!. Jamaa atavuta mpunga mrefu sana. Hiyo hela anatakiwa kuwa na watchman, housegirl na houseboy na bado chaange inabaki nyingi sana.

Iwe familia ya watu 9.

Sehemu kuzuri kwake ni Masaki.
 
Duh!. Jamaa atavuta mpunga mrefu sana. Hiyo hela anatakiwa kuwa na watchman, housegirl na houseboy na bado chaange inabaki nyingi sana.

Iwe familia ya watu 9.

Sehemu kuzuri kwake ni Masaki.
Kwa Shilingi za Kitanzania Elfu Mia Moja Themanini (180,000/-)..?!
 
1,000 x 100 =100,000
🤣🤣🤣 Dar mshahara wa laki ataishi nao vipiiiii🤣
 
Back
Top Bottom