Rafiki yangu amenishawish ni join Jf.

Mimi ndio afisa interview katika hili jukwaa la chit chat.
Enhee jinsia yako pliz?
 
Alinimbia kuna ku chat.. Nafikiri ndo hapa..wadau..

rafiki yako ana akili...akikushawishi lingine usikatae na uje kutuambia pia...
karibu sana kisiwa cha burudani...pole uliowakuta zamu reception ni nomaaa!gangamala lakini.
 
rafiki yako ana akili...akikushawishi lingine usikatae na uje kutuambia pia...
karibu sana kisiwa cha burudani...pole uliowakuta zamu reception ni nomaaa!gangamala lakini.


pamoja sana mdau.
 
mimi ni "Me"

Wali ,
excuse kiduuchu! Ukisema "Me" sie wengine umri umesogea , shotcut zenu za vijana zinatuchanganya! Hapo ndiyo umemaanisha
"Me" = Mbuzi ?
"Me" = Mende ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…