Rafiki yangu amekata tamaa ya kutafuta kazi

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
723
544
Rafiki yangu wa karibu amekata tamaa katika kuta futa kazi kisa ana master degree ya management, kila anapoomba kazi wanamuambia yuko over qualified na wengine wanamkatisha tamaa kwamba kupata kazi ukiwa na master ni ngumu.

MSAADA WA MAWAZO WAITAJIKA WAKUU
 
Rafiki yangu wa Karibu amekata tamaa katika kuta futa kazi kisa Ana master degree ya management kila anapo omba kazi wana muambia yuko over qualified na wengine wanamkatisha tamaa kwamba kupata kazi ukiwa na master Ni ngumu
MSAADA WA MAWAZO WAITAJIKA WAKUU
Akalime
 
Kasoma hadi masters lakini hana akili ama ujanja wa kupambana na maisha.
Nani kamwambia watu wanaombaga kazi na masters? Akaombe kazi na degree halafu ata update CV akiwa kazini
 
Kukata tamaa katika maisha haya ni kosa kubwa Sana, cha msinngi aangalie upande wa pili wa kujiajiri, najua hawezi kulalamika kuhusu mtaji mtaji atakuwa nao to. Kuajiriwa sio lazima aache kukariri
 
kama ni ke, mwambie aoelewe kwanza apumzishe kichwa. atatafuta kazi mdogo mdogo akiwa kwenye ndoa.
 
There are lots of scholarship in Canada,Gernan, sweeden,belgium,Netherlands so It depend na Hiyo Masters kasomea wapi, kama amesomea bongo au India kupata scholasrship ya PHD is 99.999 percent more than impossible, in top of that, do you have Work experience, Masters bila experience ni sawa sawa na kubeba kilo 500 wakati uzito wako ni kilo 65 kwa sababu ulisoma masters kwa kuogopa maisha wakati hujui Masters ni nini, Masters is about Leading others particularly in case of MANAGEMENT. Got it explicitly?
 
Rafiki yangu wa karibu amekata tamaa katika kuta futa kazi kisa ana master degree ya management, kila anapoomba kazi wanamuambia yuko over qualified na wengine wanamkatisha tamaa kwamba kupata kazi ukiwa na master ni ngumu.

MSAADA WA MAWAZO WAITAJIKA WAKUU
Kazi zipo kwa wenyevyeti wa board na wakuu wa wilaya na mikoa na wakurugenzi nyie wengine bado uakiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom