dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Aaa wee yaani amruhusu aende naye zanzibar wiki nzima... Yaani huyo mzungu hata kama jina lake ni msimamo mgumu lazima aliwe tu hakuna jinsi...Tamaduni za wenzetu zipo controversial sana...
Vitu vingine sisi twaona ajabu kuvifanya, wao kiroho safi.
Lkn kupakua asahau milele.
Ana uhakika alielewa vizuri sentensi za muzungu? Yasije yakawa mawazo na tafsiri za kukurupuka kama za wale wanaoachiwa nyumba na kuhamia chumbani kwa mwenye nyumba kisa ameombwa awe anaangalia familia wkt mwenyewe hayupo. Unaweza kutafuta hata hajamaanisha walale, anataka tu akamtembeze mkewe wakati yeye anafanya ishu zake yangu hana muda wa kutosha kuzunguka.[/
Huu nao hauna tofauti na ulofa.
Wiki moja nimtembeze tu dyudyu iko likizo?
Mwambie Huyo Jamaa Ako Asikubali Kabisa Coz Kuna Kisa Nilikisoma Hapa Kinachohusiana Na Jamaa Kutengenezewa Mazingira Kama Hayo Ya Jamaa Ako Na Baadae Walimpa Mwaliko Akawatembelee Na Alichoambulia Ni Kukandamizwa .Ngilechoka KabisaJamaa ana rafiki yake mzungu anatokea Marekani.Sasa wamemtembelea Tanzania kama wiki mbili sasa.Tatizo huyo rafiki yake ndugu yetu anamjengea mazingira magumu sana jamaa yetu.ni kama anataka jamaa aonje tunda la mkewe huyo mzungu.Hufika nyakati humwambia nanukuu."Hey buddy you wanna go out with my wife?You can go and dance and kiss her no problem.Or you can go to Zanzibar for a week and enjoy.I will stay here working some stuffs.Sasa jamaa anajiuliza anachokitafuta huyu rafiki yake ni nini?Kwamba jamaa ale tunda au?Au jamaa hana uwezo wa kutotolesha ndo mana anajenga mazingira kwa mkewe aliwe?Maana na mdada wa watu anaonyesha ushirikiano kuwa karibu kupita Maelezo na mshkaji.
Sasa swali ni jamaa ale tunda au apotezee?
1. Sio mke na mume kweli hao ila kuna kiti u wanakitafta kwa jamaa.
2. Akikubali hayo mazingira akatembea nae, watampa mwaliko wa kwenda USA ili akachezeshwe porn bila yeye kujua.
Mwisho!! Simwamini mzungu100%.
Ifike wakati angalau tujifunze tamaduni nyingine...
Wewe kuambiwa kumkiss mwanamke mwingine tayari ushawaza ngono,wengine ni kawaida tu na huyo jamaa kaona kuna tofauti kati ma tamaduni yao na ya huyo jamaa ndio maana imebidi amwambie ili asijisikie vibaya
Kutoka out na mke wa rafiki yako hata mwezi ni kawaida kwa wengine hebu tuache kuwaza ngono kila wakati....