Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,179
Huyo hamaanishi ngono jamaa asiwe na fikra nyeusi....atampoteza rafiki kwa ujinga
Tamaduni za wenzetu zipo controversial sana...
Vitu vingine sisi twaona ajabu kuvifanya, wao kiroho safi.
Lkn kupakua asahau milele.
Ana uhakika alielewa vizuri sentensi za muzungu? Yasije yakawa mawazo na tafsiri za kukurupuka kama za wale wanaoachiwa nyumba na kuhamia chumbani kwa mwenye nyumba kisa ameombwa awe anaangalia familia wkt mwenyewe hayupo. Unaweza kutafuta hata hajamaanisha walale, anataka tu akamtembeze mkewe wakati yeye anafanya ishu zake yangu hana muda wa kutosha kuzunguka.[/
Huu nao hauna tofauti na ulofa.
Wiki moja nimtembeze tu dyudyu iko likizo?
Mwisho watu waambukizwe maradhi yasiyoeleweka toka majuu. Hebu tuliza kibamia huko khaaaaaa
Jamaa ana rafiki yake mzungu anatokea Marekani.Sasa wamemtembelea Tanzania kama wiki mbili sasa.Tatizo huyo rafiki yake ndugu yetu anamjengea mazingira magumu sana jamaa yetu.
Ni kama anataka jamaa aonje tunda la mkewe huyo mzungu. Hufika nyakati humwambia nanukuu."Hey buddy you wanna go out with my wife?You can go and dance and kiss her no problem.
Or you can go to Zanzibar for a week and enjoy.I will stay here working some stuffs.Sasa jamaa anajiuliza anachokitafuta huyu rafiki yake ni nini? Kwamba jamaa ale tunda au?
Au jamaa hana uwezo wa kutotolesha ndo mana anajenga mazingira kwa mkewe aliwe? Maana na mdada wa watu anaonyesha ushirikiano kuwa karibu kupita maelezo na mshkaji.
Sasa swali ni jamaa ale tunda au apotezee?
Mkuu hawa wavulana ni shida sana aisee .....Enzi zile za penpals na mshikaji alipata rafiki wa kike toka Marekani. Alikua anamtumia jamaa vidola vya hapa na pale. Alikua mama akiwa na umri kama miaka 40 na alikua na binti tinija but minor.
Mama akaamua kuja kutembea Tanzania na alikuja na bintiye. Mama alikua na ratiba zake nyingine, akamwambia jamaa ampe kampani binti! That mshikaji got it all wrong! He made some advances, thinking it was all green.
Jamaa alijua hasira za kizungu!
Mkuu hawa wavulana ni shida sana aisee .....
Habari ya siku mkuu?
Ale tunda Ili ATOE chotara