Rafiki yake anamlazimisha atembee na mkewe

Rafiki yake anamlazimisha atembee na mkewe

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Jamaa ana rafiki yake mzungu anatokea Marekani.Sasa wamemtembelea Tanzania kama wiki mbili sasa.Tatizo huyo rafiki yake ndugu yetu anamjengea mazingira magumu sana jamaa yetu.

Ni kama anataka jamaa aonje tunda la mkewe huyo mzungu. Hufika nyakati humwambia nanukuu."Hey buddy you wanna go out with my wife?You can go and dance and kiss her no problem.

Or you can go to Zanzibar for a week and enjoy.I will stay here working some stuffs.Sasa jamaa anajiuliza anachokitafuta huyu rafiki yake ni nini? Kwamba jamaa ale tunda au?

Au jamaa hana uwezo wa kutotolesha ndo mana anajenga mazingira kwa mkewe aliwe? Maana na mdada wa watu anaonyesha ushirikiano kuwa karibu kupita maelezo na mshkaji.

Sasa swali ni jamaa ale tunda au apotezee?
 
Akiwa tayari kula awe tayari kuliwa na yeye.Kula bila kuliwa haiwezekani- By Dkt Mkwere.
 
Tamaduni za wenzetu zipo controversial sana...

Vitu vingine sisi twaona ajabu kuvifanya, wao kiroho safi.

Lkn kupakua asahau milele.
 

Attachments

  • 1441222235757.jpg
    1441222235757.jpg
    56 KB · Views: 1,393
1. Sio mke na mume kweli hao ila kuna kiti u wanakitafta kwa jamaa.
2. Akikubali hayo mazingira akatembea nae, watampa mwaliko wa kwenda USA ili akachezeshwe porn bila yeye kujua.

Mwisho!! Simwamini mzungu100%.
 
Dah!!@ ONTARIO nimecheka sana.Huu mtindo wa kushikana matako siupendi sana tuwaachie hao kina Athpilcueta.
 
Tamaduni za wenzetu zipo controversial sana...

Vitu vingine sisi twaona ajabu kuvifanya, wao kiroho safi.

Lkn kupakua asahau milele.
Aaa wee yaani amruhusu aende naye zanzibar wiki nzima... Yaani huyo mzungu hata kama jina lake ni msimamo mgumu lazima aliwe tu hakuna jinsi...
 
Ana uhakika alielewa vizuri sentensi za muzungu? Yasije yakawa mawazo na tafsiri za kukurupuka kama za wale wanaoachiwa nyumba na kuhamia chumbani kwa mwenye nyumba kisa ameombwa awe anaangalia familia wkt mwenyewe hayupo. Unaweza kutafuta hata hajamaanisha walale, anataka tu akamtembeze mkewe wakati yeye anafanya ishu zake yangu hana muda wa kutosha kuzunguka.
 
Ana uhakika alielewa vizuri sentensi za muzungu? Yasije yakawa mawazo na tafsiri za kukurupuka kama za wale wanaoachiwa nyumba na kuhamia chumbani kwa mwenye nyumba kisa ameombwa awe anaangalia familia wkt mwenyewe hayupo. Unaweza kutafuta hata hajamaanisha walale, anataka tu akamtembeze mkewe wakati yeye anafanya ishu zake yangu hana muda wa kutosha kuzunguka.[/
Huu nao hauna tofauti na ulofa.
Wiki moja nimtembeze tu dyudyu iko likizo?
 
1.amemwamini jamaaa
2.Mkewe ana fantacy ya kutest blk dushelele,na wazungu huwa wanaujinga wa kushare kila wazo,so jamaa anampa fulsa mkewe in a controlled enviroment
 
Jamaa ana rafiki yake mzungu anatokea Marekani.Sasa wamemtembelea Tanzania kama wiki mbili sasa.Tatizo huyo rafiki yake ndugu yetu anamjengea mazingira magumu sana jamaa yetu.ni kama anataka jamaa aonje tunda la mkewe huyo mzungu.Hufika nyakati humwambia nanukuu."Hey buddy you wanna go out with my wife?You can go and dance and kiss her no problem.Or you can go to Zanzibar for a week and enjoy.I will stay here working some stuffs.Sasa jamaa anajiuliza anachokitafuta huyu rafiki yake ni nini?Kwamba jamaa ale tunda au?Au jamaa hana uwezo wa kutotolesha ndo mana anajenga mazingira kwa mkewe aliwe?Maana na mdada wa watu anaonyesha ushirikiano kuwa karibu kupita Maelezo na mshkaji.
Sasa swali ni jamaa ale tunda au apotezee?
Mwambie Huyo Jamaa Ako Asikubali Kabisa Coz Kuna Kisa Nilikisoma Hapa Kinachohusiana Na Jamaa Kutengenezewa Mazingira Kama Hayo Ya Jamaa Ako Na Baadae Walimpa Mwaliko Akawatembelee Na Alichoambulia Ni Kukandamizwa .Ngilechoka Kabisa
 
ONTARIO, hiyo picha noma sana lazima nipige mtu nakoz
 
Last edited by a moderator:
1. Sio mke na mume kweli hao ila kuna kiti u wanakitafta kwa jamaa.
2. Akikubali hayo mazingira akatembea nae, watampa mwaliko wa kwenda USA ili akachezeshwe porn bila yeye kujua.

Mwisho!! Simwamini mzungu100%.

huko kuna ndoa mpaka za mikataba ya muda, so ndoa kama hiyo huwezi kuumia kwa ajili ya lover wako, hau wazungu wa hivyo hupa tz wapo wengi sana tu na hata kenya, ni mashetani wakubwa, ukijenga nao tu urafiki tayari shida
 
Acha njaa ya ngono usiwaamini wazungu pengine ana ngoma anataka mufe pamoja
 
Ifike wakati angalau tujifunze tamaduni nyingine...


Wewe kuambiwa kumkiss mwanamke mwingine tayari ushawaza ngono,wengine ni kawaida tu na huyo jamaa kaona kuna tofauti kati ma tamaduni yao na ya huyo jamaa ndio maana imebidi amwambie ili asijisikie vibaya

Kutoka out na mke wa rafiki yako hata mwezi ni kawaida kwa wengine hebu tuache kuwaza ngono kila wakati....
 
Wazungu wapo kibiashara sana na aslimia kubwa ya bidhaa yao ya biashara ni watu jasa sisi wa africa inawezekana wapo katika mradi wa kujaribu magonjwa ya kujamiiana jamaa akawa ndio subject tuwe makini jamani hata wanyama wana wivu na wanawake zao
 
Ifike wakati angalau tujifunze tamaduni nyingine...


Wewe kuambiwa kumkiss mwanamke mwingine tayari ushawaza ngono,wengine ni kawaida tu na huyo jamaa kaona kuna tofauti kati ma tamaduni yao na ya huyo jamaa ndio maana imebidi amwambie ili asijisikie vibaya

Kutoka out na mke wa rafiki yako hata mwezi ni kawaida kwa wengine hebu tuache kuwaza ngono kila wakati....

Enzi zile za penpals na mshikaji alipata rafiki wa kike toka Marekani. Alikua anamtumia jamaa vidola vya hapa na pale. Alikua mama akiwa na umri kama miaka 40 na alikua na binti tinija but minor.
Mama akaamua kuja kutembea Tanzania na alikuja na bintiye. Mama alikua na ratiba zake nyingine, akamwambia jamaa ampe kampani binti! That mshikaji got it all wrong! He made some advances, thinking it was all green.

Jamaa alijua hasira za kizungu!
 
Back
Top Bottom