Rafiki wa mume wangu ananitaka

Rafiki wa mume wangu ananitaka

Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

vp dada! ulimpa taarifa mumeo au ulimpa chansi shem wako!? natumai ulifanya maamuz sahihi ya kutohatarisha ndoa yako!
 
Mwambie ngoja ukamu-consult mmeo.kwahiyo awe na subra kidogo
 
Naamin kuna mazingira ambayo umeyatengeneza na kuyaruhusu. Na naamin unatongozwa na wengi na naamin kama unawapa wengine basi mpe na huyo ila kama huwapi unawaepuka tumia njia hiyo kumwepuka.
 
swali zuri,wife wangu kila mara marafiki zangu huwa wanamtongoza na wengine wanajidai wamekosea namba huwa ananieleza na hao jamaa sijakisana nao wala nini ila nimewajua tu tabia zao.kama mumeo ana kifua mweleze kila anayekutongoza
sio unaowakubali humwambii unaowakataa ndio unamwambia
nalog off
 
Wanawake ndo maana mnamegwa sana ,mpo so wik ,sasa hapo unalinda urafiki huo lakini uko radhi uharibu ndoa yako!
Fuc#&&
 
Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

Ili usiharibu urafiki wa mumeo na rafiki yake mpe tu akugegede alafu mumeo ajue kuwa unagegedwa na rafiki yake,,, atafurahiji maana utakuwa umeudumisha urafiki. Atakupendaje mume wako we foooolish.
 
Alafu jinsi unavyojieleza yako sio ndoa, itakuwa ndoano tu, wenye ndoa wangeshatoa mamuzi zamani wala wasingekuja hapa busatini.
 
kuna watu wanaomba hata miaka mitano mi nakushauri umpe onyo la nguvu na serious akiendelea mlipue kwa mkewe
 
mama umechora chin mvua ikanyesha ikafuta alama. plz maandishi yako yanaonesha ulishaingia jamaa akashindwa mashart na sasa unaogopa kumwambia mzee maana unajua ukimwaga mboga anamwaga ugar! kuwa makin umeweka ndoa yako rehan, ukitaka kumaliza
 
Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kumkubari. Kama huna nia nae mchane mumeo ukweli, kwani jamaa akijua mnatongozana umekwisha
 
umenikumbusha kisa kimoja cha jamaa yangu wa siku nyingi, wakati mmoja, jamaa yangu alikuwa akielekea kazini na mke wake, katika jiji lenye adha ya foleni DSM, wakiwa wamenasa katika foleni, jamaa alikuwa ana drive huku mke akiwa pembeni yake! walikuwa na mazungumzo yenye afya, walicheka na kufurahia mengi, katikati ya mazungumzo yao, wife akagusia jambo akisema, "mume wangu, naomba umwambie rafiki yako (jina kapuni) kuwa sipendi tabia zake". jamaa alimjibu kwa kusema, "sikutegemea kama ungeniambia jambo hilo, kwa nini wewe hukumwambia mwenyewe? nadhani umesema kwa kuwa hujampenda, vinginevyo wala usingesema, mngemalizana kimya kimya"- source: hisani ya rafiki wangu (2010).

NB: nadhani, kama kila mwana ndoa/mpenzi/rafiki nk akitimiza wajibu wake wa kuwa mwaminifu kwa nafsi yake na ya mwenzi wake, hakuna haja ya ku-report kila tunayokutana nayo katika pilikapilika zetu! imagine, driver tax akakutongoza, then muuza duka, boss, jemeji, etc kwa siku, je uta-report matukio hayo? ni muhimu kuchukua maamuzi sahii wenyewe bila kuathiri afya za mahusiano yetu na famila zetu!! mambo yote yaliyo kinyume na NADHIRI za uaminifu yaepukwe, ni wajibu wa kila mmoja wetu, bila kusubiri USHAURI wa mume/mke/rafiki au wanaJf
 
Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

Kila Nikiona Tar 7&8 April 2012 namkumbuka Late Kanumba(Apepe)
 
Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

unataka cc twkwambie nn? nahisi hat WW unamkubali Jamaa Mpe tU haondoki nacho
 
Usimwambie mumeo kama huyo jamaa aliyekutongoza hakubughudhi sana maana kuna wanaume akikutongoza inakuwa kero.

Kama ikizidi na ukalazimika umwambie mumeo basi jitahidi kutumia indirect method, mfano tu unaweza tu kumwambia mumeo. Hivi mume wangu fulani ulijuana nae vipi? Ni lazima atakuuliza kwa nini? Unamjibu, mimi ninavyomuona kama hajatulia vile yaani macho yake yapo juu juu.

Akikuambia amekutongoza nini? Hapana ila naona kwa jinsi anavyoniangalia ni kama anataka kusema kitu ila anashindwa.

Akija jamaa unamwambia ukiendelea kunisumbua nitamwambia mume wangu maana nimeshakwambia sitaki.

Jambo lingine kama ushauri kwako,
Usimpe nafasi akushike hata kiungo chako kimoja hata kwa kukusifia kisha akajitia anataka kukugusa. Akifanya hivyo kuwa mkali na uonyeshe haupendi ujinga wake huo kabisa.

Pili kama akipiga simu usimchekee kama unongea na mpenzi wako, just be straight, hallow hallow, vipi safi. Eeeh nikusaidie nini au una shida gani? Ajue huna matani na wala haitakaa uitokee umsaliti mumeo kwa ajili yake.

Ni hayo tu.

We kweli mzee wa rula
 
Jaman, hebu nisaidieni ktk hili, mimi nimeolewa na nnampenda sn mume wangu, sijawahi kumsaliti tokea nimekutana naye.

Hivi keribuni amenitambulisha kwa rafiki yk ambaye alionekana mstaarabu kumbe mnafiki. Rafiki yake huyo ameoa ila cha kushangaza ananitaka mimi wakati mi ni mke wa mtu. Amekuwa akinishawishi kwa kw mme wangu ni mtu wa safari na yeye mke wake anafanya kazi mkoani. Mi nimemgomea kabisaa.

Asa nisaidieni, je nimweleze mume wangu, ila naogopa kuharibu mahhusiano yao, na vlvl naogopa siku mume wangu akijua km jamaa ananitokea! Naombeni ushauri!

mpaka leo hii ni vipi? umeshampa au umeshamshtaki?
 
Back
Top Bottom