Rafiki wa mume wangu ananitaka

Huyu ndiye mwanaume WA kwanza kukutongoza toka uolewe?
Nalog off
 
Wanaume tuheshimiane jamani huu ni upuuzi,mke wa rafiki yako na mjini wadada wengi hivi unataka nini tena? kwanini unadhamilria kabisa kuiua ndoa ya mwenzako angali unae wako?

Tujiheshimu sana sana kwa marafiki zetu jamani,ni wito tu kwa wanaume.
 
Labda haumpendi mumeo kama unavyodhania.
 
nimesoma hapa hapa jf jana kwamba kuna mtu kawekewa sumu kwenye pombe kisa kutembea na mke wa mtu
tuepushe matatizo kwa kujifunza
 

katika mambo yanayohusu pande mbili..ukitaka kuyapatia ufumbuzi mzuri hebu vaa viatu vya mwenzio then waza ingekuw ww ungejiskiaj kama mkeo anatongozwa na frnd wako then akwambii..Lamsingi mtel mumeo coz ni mwenza wako na amini hatakuwa na maamuzi yasiyo na busara..mwambie kabla hajajua mwenyewe...
 
Huyu ndiye mwanaume WA kwanza kukutongoza toka uolewe?
Nalog off

Swali zuri... Maana hawa wanawake, wakiona aliyewatokea hawampendi, ndo fullu kushitaki... Sasa ukute katokewa na anayemzimikia... Anaachia mzigo uliwe halafu kimyaaaaaaa kama vile hagegedwi nje ya ndoa
 
angalia unachokithamini kati ya mumeo na huyo rafki yake. Kama utamwambia mumeo uwe tayari kwa lolote pia kwani kibao kinaweza kukugeukia.
 
Mwambie mumeo ili amuonye maana sio tabia nzuri wala usijishaurii kama humpendi mumeo utanyamaza na una nia ya kumkubali huyo rafiki

OKOA NDOA YAKO
maana ukiachika huyo mharibifu hatakuoaa anakutaka kwa vile upo kwa mume wako unagharamikiwaa
 
Wanaume tuheshimiane jamani huu ni upuuzi,mke wa rafiki yako na mjini wadada wengi hivi unataka nini tena? kwanini unadhamilria kabisa kuiua ndoa ya mwenzako angali unae wako?

Tujiheshimu sana sana kwa marafiki zetu jamani,ni wito tu kwa wanaume.
.....siyo kosa lao japo inaweza kuwa ngumu kueleweka....ukweli ni kuwa ME hao kuna kuwa na nguvu ya kishetani ndani yao....

 
We anily kama kweli unampenda mumeo ungeshafanya maamuzi!! Ushauri unatafuta ili iweje?

Haya, ushauri mzuri ni wa mzee wa rula hapo juu...

Acha kuwa dhaifu..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Mpe urafiki unoge au mkaribishe for threesome.
 
Rafiki wa mumeo nae mumeo huyo kama ilivyo mtoto wa mwenzio wako
 
Huyu ndiye mwanaume WA kwanza kukutongoza toka uolewe?
Nalog off

swali zuri,wife wangu kila mara marafiki zangu huwa wanamtongoza na wengine wanajidai wamekosea namba huwa ananieleza na hao jamaa sijakisana nao wala nini ila nimewajua tu tabia zao.kama mumeo ana kifua mweleze kila anayekutongoza
 
MKUBALI,vya uwizi vtamu..' anily
 
Last edited by a moderator:
hv mpaka shem wako anakutongoza inakua ktk mazingira yapi? na wewe unajiwekaje wekaje kwake mpaka anapata hiyo chance ya kukutongoza pengine kaona ni loose ball' cha msingi mweke wazi kuwa we ni mke wa rafiki yake, wala haina haja ya kumwambia mumeo. mwanamke anayejiamini anaface challenges na kusimamia kile anachokipinga. kwa kuomba ushauri tu humu ushaprove failure, ulipaswa utuambie umeshamkataa ana kwa ana then bdo anakusumbua atleast tungekusikiliza na kukushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…