Rafiki wa mume wangu ananitaka

kisasangwe..

Kama unaweza kumfuata mwanamume asiye mume wako baa, likelyhood ya kuingia "guest house" na huyo mwanamume au mwanamume mwingineo ni kubwa - that means lazima siku hiyo either mli-do na sasa unajuta au unam-feel huyo jamaa na hiyo post is mere guilty consciousness..

So, mnaweza mkapeana na shemeji yako as long as kila kitu kinabaki SIRI!!!

1. sikuingia guest house.
2. sikufanya nae LOLOTE

tulipokutana ni restaurant pia ambako ni sehemu ya wazi sana. hiyo guest iko mbali na hapo yeye ndo alisema kwamba alichukua chumba huko upo hapo!
 
Nakubaliana nawe..kuna dada hapa JF ameshauri wanawake watumie akili zao kufikiria sio vinginevyo..haingii akilini kuwa mwanaume anashida badala kuomba msaada toka kwa rafikiye aombe kwa mke wa rafikiye...ok imeshatoke na iwe fundisho kwa wote. Recipe ya tatizo imeanza na mawasiliano ambayo supposedly yalikuwa honest kati ya familia mbili...shida ni channels iliyokuwa ikitumika...kwa mawasiliano yenye tija ni lazima head of the house ashirikishwe and not otherwise.
Hivi rafiki ya mke wako hawezi kuwa rafiki yako??, kuna mambo ya family friends sasa nyie kutokana na kwamba huyu rafiki mmoja ameoza sio kwamba marafiki wote nao wawe hawafai...

Kuna marafiki wengine ni more than ndugu jamani haya mambo ya kutokujiamini itafanya watu tuishi kama tupo prison.
 
If this story is true....
je huwezi kumsikiliza rafiki ya mume wako akikuita ili aombe ushauri..? maybe anataka ushauri ambao mwanamke ndio anaweza akautoa hususan kama hio issue inahusu mke wake.., au anakutafuta hili mumfanyie surprise mume wako ya birthday.. Hivi kweli tumefikia wakati wa kutokumuamini mtu yeyote na kuomba ruhusa ya kila tunachofanya?

Mimi binafsi siwezi kwenda kukutana na mwanamme popote pale bila ya kutoa maelezo kwa rafiki yake kwanza. Labda ni kwasababu nilivyojiwekea ni kuwa rafiki wa partner wangu ni rafiki yake sio rafiki wangu, na nilazima ajue kuwa rafiki yake ameniita nikampe ushauri.

Na ningependa akija nyumbani kama rafiki yake hayupo, asikae kumsubiri. Mimi si rafiki yangu, naona atanighasi tu :)
 
Mimi binafsi siwezi kwenda kukutana na mwanamme popote pale bila ya kutoa maelezo kwa rafiki yake kwanza. Labda ni kwasababu nilivyojiwekea ni kuwa rafiki wa partner wangu ni rafiki yake sio rafiki wangu, na nilazima ajue kuwa rafiki yake ameniita nikampe ushauri.

Na ningependa akija nyumbani kama rafiki yake hayupo, asikae kumsubiri. Mimi si rafiki yangu, naona atanighasi tu :)
Ni kweli usemayo......
Je hakuna uwezekano wa kwamba huyo rafiki kwa kuwa karibu na familia yenu akawa rafiki wenu wote yaani mkawa kama ndugu...?,
Sababu am sure ndugu za mme wako ni kama ndugu zako wanaweza wakakufata kwa ushauri au kukuomba msaada ndio utamwambia mme wako lakini you can do this after na sio before.. Na pia kuna msemo wa usikatae wito huenda rafiki yake anataka msaidiane kumtoa mme wako kwenye janga aliloingia la kupenda malaya au kaanza kubwia unga :)
 
Hivi rafiki ya mke wako hawezi kuwa rafiki yako??, kuna mambo ya family friends sasa nyie kutokana na kwamba huyu rafiki mmoja ameoza sio kwamba marafiki wote nao wawe hawafai...Kuna marafiki wengine ni more than ndugu jamani haya mambo ya kutokujiamini itafanya watu tuishi kama tupo prison.
Unajua VOR ni hivi mawasiliano baina ya familia mbili yatakuwa health tu kama wadau wote watakuwa informed at all times. Kwa kesi hii ya huu dada ni wazi kumekuwa breach ya hiyo principle...si sahihi mke wa rafiki yangu atume au kunipigia simu mimi kunijulia hali badala ya kufanya hivyo kupitia kwa mke wangu tena kuijulia hali familia na mke wangu kama individual...unajua ni mazoe mabaya tu...Kwa issue ya huyu dada haikuanzia hapo imeanza sms muda kidogo ukawa umepita yaani kukawa na mazoea jamaa anandika sms mke wa mtu anajibu...kwa hiyo hata swala kwenda kukutana naye huyu dada alikuwa na confidence iliyojengwa ktk msingi mbovu...Ninashaka kama Mr alikuwa anashirikishwa ktk hizo salamu za sms and like I said alikuwa anaisalimia familia au ni huyo mwanamke (either way she wa wrong ku-entertain hiyo behavior)Shida kubwa hapa ni husband kutokuwa in the loop...idealy as a family either should be in the loop. Tatizo la kutokuwa in the loop ndio mfano inatokea husbabd hajui mke wake kapigiwa simu na rafikiye kuna ubarikio ..anakwenda ambacho sio kitu kibaya kisha anarudi saa tano usiku hata iwe mchana ..vipi nilikuwa kwa rafikiyako so and so mke wake alinipigia simu..you see hapo unaondoa trust ktk familia.
 
watu tunatofautiana

mimi hapo mke nampa 'benefits of the doubts'
huku naendelea na uchunguzi..
na huyo rafiki namuanzishia vita
 
Ni kweli usemayo......
Je hakuna uwezekano wa kwamba huyo rafiki kwa kuwa karibu na familia yenu akawa rafiki wenu wote yaani mkawa kama ndugu...?,
Sababu am sure ndugu za mme wako ni kama ndugu zako wanaweza wakakufata kwa ushauri au kukuomba msaada ndio utamwambia mme wako lakini you can do this after na sio before..

kimsingi kwangu hakuna mtu asiyekuwa ndugu wa damu lakini akageuka sawa na nduguwa damu. Na nitakavyo behave mbele ya ndugu zangu wa damu sivyo nitakavyo behave mbele ya mtu huyo rafiki. Kwangu haiingii akilini kwa mwanamke kumzowea sana shemegi yake kiasi cha kuonana faragha
 
kama unaipenda ndoa yako mwambie mumeo na umwombe msamaha kwa kwenda kwenye appointment bila kumshirikisha ila pia haingii akilini mwangu.. Mwanaume achukue chumba bila makubaliano?? Afu mtu wa karbu hvyo? Alikuonaje?? We sema mlitongozana siku nyingi na hyo siku mlimalizana.
 
Thank you. Mi naona mdau wanamshambulia bure. Keshasema jamaa kamwita juu kwa juu. Na kwa kuwa ni best friend wa mumewe yawezekana kabisa hakuwa na shaka na wito huo. Labda alijua ana tatizo la kifamilia anataka ushauri. Si kila tunakokwenda tunawaaga wame/ wake zetu as long as si mida mibaya. Ni very possible kwa mke kwenda mahali afu akajatoa feed back kwa hubby baada. Kwani huwezi kwenda lunch na shemejiyo na baadae ukamwambia mumeo leo nimekutana na shem akanipa lunch? Yaani kila ninapochomoka ofisini ni lazima niage? Tusikimbilie kujudge wajameni. Kuna shemeji zangu ambao najua hata hubby anikute nao wapi hawezi tia shaka kwani they are part of our lives.

Ukweli unabaki pale pale shemeji ni mshenzi tu. Inawezekana ameona wife wa rafikiye ana mvuto ndio maana ameleta ushetani wake. SI wote wanaotongozwa ni malaya as long as wanasema NO.

Embu nisaidie ni vitu gani?,sooo kila anayetongozwa huonekana mrahisi kukubali na ikitokea hujakubali wanakuweka kundi gani?
 
Hapo mi ndipo ninapochoka.

Yalishakukuta nini?

Poleni wandugu!! Mara nyingi marafiki huwa siyo wazuri kama tunavyopenda kujiaminisha! Eti urafiki wa damu matokeo yake ndo hayo!! Shemeji kula kaka hayupo!
 
mnaozungumza humu ndani hamuelewi kitu kimoja....

mwanamke hata awe mapepe kiasi gani,huwezi kumtongoza kama unamjua mumewe
na unamheshimu na kumuogopa....

huyo shemeji hamheshimu rafiki yake....

ana dharau kwa rafiki yake
 
Ama hakika. Yaani utadhani watu wote wanaowatongoza mnakuwa mmewapa welcome signs. Yaani ukitongozwa moja kwa moja wewe ni mkosaji kwa kuwa umeonekana cheap material? Ina maana wanawake wote wanatongozwa na watu waliojilengesha kwao? Acheni hizo jamani. Kuna mianamume hata uvae baibui itakutokea tu.

Na mkae mkijua kuna wanaume ambao wanatongoza wanawake wagumu tu ili kujipima mvuto wao.
 
... Yaani utadhani watu wote wanaowatongoza mnakuwa mmewapa welcome signs. ....
Si wote lakini mpaka mwanaume anapochukua hatua ya kukutongoza ujue kuna analysis ya kutosha tu anakuwa ameshakufanyia kutokana na information mbalimbali kukuhusu au hata signal unazokuwa unatoa (from mavazi,eye contacts with him,the distance you keep with him etc). Wakati mwingine bila hata wewe mwenyewe kujua unaweza ukajikuta kumbe umetoa signal inayoweza kuwa interpreted na mwanaume kama 'you are welcome'/ 'am available' etc. Na kusema kweli ukiona anakutongoza ujue angalau rating yake ya success ipo kwenye 'Probable'.

Note: Nakubaliana na wewe kuna wanaume wengine ni wakware tu....anatongoza 'kila' kinachopita mbele yake.
 
kimsingi kwangu hakuna mtu asiyekuwa ndugu wa damu lakini akageuka sawa na nduguwa damu. Na nitakavyo behave mbele ya ndugu zangu wa damu sivyo nitakavyo behave mbele ya mtu huyo rafiki. Kwangu haiingii akilini kwa mwanamke kumzowea sana shemegi yake kiasi cha kuonana faragha

Duh, kweli nimekukubali na hizi principle zako. I wish my wife could behave this way as well!
 
Si wote lakini mpaka mwanaume anapochukua hatua ya kukutongoza ujue kuna analysis ya kutosha tu anakuwa ameshakufanyia kutokana na information mbalimbali kukuhusu au hata signal unazokuwa unatoa (from mavazi,eye contacts with him,the distance you keep with him etc). Wakati mwingine bila hata wewe mwenyewe kujua unaweza ukajikuta kumbe umetoa signal inayoweza kuwa interpreted na mwanaume kama 'you are welcome'/ 'am available' etc. Na kusema kweli ukiona anakutongoza ujue angalau rating yake ya success ipo kwenye 'Probable'.

Note: Nakubaliana na wewe kuna wanaume wengine ni wakware tu....anatongoza 'kila' kinachopita mbele yake.

Uko sahihi kabisa SMU. Hasa linapoja suala la mwanaume kumtongoza mke wa rafiki yake, hii analysis yako ni ya kweli kabisa!
 
Umwambie mume ili iweje? kwani una mpango wa kukutana naye tena faragha siku nyingine? kama ulishamkataa na mmemalizana inatosha, ila kama una mpango wa kukutana naye tena unaweza kumwambia mume ili akiwafuma ajue kosa la rafiki yake............................................ ha haaaaaaaaaaaaaaa, kaazi kweli!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom