Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Iliwahi kuenda kwa mganga mpaka akupende hivyo? Taabu ya kuzoeana sana na mchepuko ndio hii, mara dear, mara darling ndio taabu yake mnazoeana mpaka mnakuwa na strong feelings. Mchepuko alitakiwa akuambie toka mwanzo kuwa ukipata mwenza umfahamishe, hakukwambia? Mchepuko anatakiwa apate chat history yako ikionesha una mahusiano mengine ndio uanzie hapo.
 
Ushauri wako unanifanya nikupende zaidi Miss chagga.
 
Kijana atakuletea matatizo mbeleni,,hutaishi kwa amani na huyo kijana,olewa na mtu . Asiyejua mchepuko wako,, maana siku ukichelewa kwenye mambo ya kazi atasema ulikuwa ka mbaba wako
 
Usijari
 
hapo kwenye bold ni indicator moja kubwa kuwa anakudanganya.... yaani wife material wakati anajua kuwa unatoka na mme wa mtu?? hapana aisee
Katika kutafta mke Au mume huwezi kupata mkamilifu maana Na yey pia yaezekana katembea hata na mke wa mtu ishu ni kuheshimiana tuu na kufanya maisha
 
Okeee ila anahitaji mwanamke mwenye forcus Na upeo wa kuwaza Na atkaekua msaada kwake
 
Oh yeah thanx naelewa huwezi ukapata kila kitu in a positive way there must me negativity inside
 
Kijana atakuletea matatizo mbeleni,,hutaishi kwa amani na huyo kijana,olewa na mtu . Asiyejua mchepuko wako,, maana siku ukichelewa kwenye mambo ya kazi atasema ulikuwa ka mbaba wako
Duh... hilo nalo nenooo
 
Sina malezi au vishawishi vya waganga.. kumpenda mtu sio lazima akuloge just bcoz mna match ndo mnajikuta mnafall
 
Kama kweli anataka kufungandoa na ww kheri.
Lakini swali ni je hyo ndoa itakua na amani sikuzote hasa pale mtakapokosana mana anajua ulikua na nani so hautakua na jipya kwake
 
Kama kweli anataka kufungandoa na ww kheri.
Lakini swali ni je hyo ndoa itakua na amani sikuzote hasa pale mtakapokosana mana anajua ulikua na nani so hautakua na jipya kwake
Mkuu hiyo mistari miwili ya mwisho nimhimu sana kwa uamzi atakaochukuwa.
 
Je, ni huyu apa??? Nataka kukusaidia kitu.
 
Attachments

  • IMG_20160906_162502.JPG
    47.2 KB · Views: 47
  • IMG_20160906_162523.JPG
    30 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…