[emoji108] [emoji106] [emoji106]ukweli ni mchungu siku zote... ila kiukweli wewe unatakiwa kuwa makini mawili yaweza tokea jamaa akakuoa lakini msiwe happy akiamini wewe ulizoea vya kunyonga hata ukiwa uanalalamika kitu halisi yeye atakuona sababu ulizoea vya kunyonga,,, pili jamaa anaweza kuwa kewli anakupenda mkaishi maisha bora,,,,,,,,,, jamaa anaweza kuona kama uliweza tambulishwa as rafiki ukamzunguka mzee kwa yeye ana nini usimzunguke ....
mzee wa watu mwambie mimi natakakuendeea na maisha yangu naona sasa ni muda muafaka wa kuendelea na maisha yangu na kata mawasiliano over,.. hawezi kufa kwa presha sababu hakupendi anapenda familia yake ndiyo maana anakupiga marufuku kuingia familia yake .. wewe alikuwa anabadilisha ladha tu ,,,,,,, ila kama hela anayo unaweza amua kuolewa ukavumilie au uendelee na mzee uendelee kunyonga
mWOMEN DONT THINK AND WHEN THEY THINK THEY DONT MAKE GOOD DECISION MOST OF THE TIME.......................LIFE GOES ON
I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesikuAcha kujidanganya, usidhani mwanaume anaweza kuwa kauzu kwa rafiki yake kirahisirahisi na kukuoa wewe wakati wana historia. Huyo anataka kukufunua na kukubwaga au kuwa na wewe kwa siri akikutumia au kukubwaga mara tu atakapokutumia. Na hili linaweza kutokea wakati yeye akiwa hata hajapanga au kudhamiria isipokuwa baada tu ya kumaliza ashki zake, akili yake itamkaa sawa na kukuona wa kawaida maana hata ahadi anazotoa sasa zinaendeshwa na kichwa cha chini. Hutaamini. Mark my words!
Hivi hapo kuna HASARA gani ya kukosa vyoote ikiwa alikuwa na MUME wa mtu, Je aendelee na mume wa mtu au amkose jamaa aendelee na dhambi ya kutembea na Mume wa mtu?katika maisha kuna aina mbali mbali za binaadamu ambao Mungu hukukutanisha nao ili kukukamilishia kukomaa ki akili. kuwa makini na huyo mpenzi mpya maana wanaume huwa tunatabia ya kutamani vitu vilivyoundwa na wenzetu. kama huo mchepuko wako ni muislamu mwambie akuoe....usimpe nyapu huyo mpenzi mpya maana anaweza akawa ametumwa na huo mchepuko wako. jirizishe kwa umakini kabla hujafanya maamuzi magumu. NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPITISHE SALAMA KATIKA HILO JARIBU... maana kwa mbali naona kuna kukosa vyote ama kumpata mume.
SISI wanaume tuacheni kama tulivyo, hata mimi naweza nikalala na wewe wiki nisifanye chochote ili mradi nikumanipulate tu na uhisi nina nia kubwa sana na wewe, afterall nakuachia stress zisizokuwa na dawa ya haraka.I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesiku
That is called acting! Una umri gani? Inaelekea una uelewa mdogo sana na wanaume. Kama unaamini anakupenda kwa dhati, its well and good,ila kama likitokea la kutokea,usisite kutuletea mrejesho hapa au just be kind to PM me ili nijue au kukupa angalau ushauri. Mimi ni mwanaume, najua nachokisema maana najua tulivyo na hiyo situation uliyomo si ngeni.I will prove u wrong... kama ni kichwa cha chini nimekaa kwake siku mbili na nilikua nalala Na night dress hata kunigusa walaa alisema hana haraka so hapo nakupinga mkuu.. angesha nivua ilesiku
Hapana kanizuia kuonana Na babu Na hajui kama naonana nae coz tumetofautiana maeneo ya kuishi mi Na huyu baba tupo mkoa mmoja yeye yupo nje kidooogo
Kwahiyo huyo Kijana hanaga ushemeji! Sasa sijui na yeye akikutambulisha kwa rafiki zake sijui itakuwaje.
hapo kwenye bold ni indicator moja kubwa kuwa anakudanganya.... yaani wife material wakati anajua kuwa unatoka na mme wa mtu?? hapana aiseeTena mpaka leo anasema namshukuru sana mr. X kwan bila yeye nisingepata wife material I was looking for
Umepigilia msumari ipasavyo.Kwahiyo huyo Kijana hanaga ushemeji! Sasa sijui na yeye akikutambulisha kwa rafiki zake sijui itakuwaje.
JALINDUGU NDIO JF HII...VUMILIA TU YOTE....MI HALIPO TENALABDA NISEME KUWA OPPORTUIST ALIYE MAKINI..PIA JIULIZE UNATAKA NINI KATIKAMAISHA YAKO....KUWA MCHEPUKO MPAKA LINI......PIA JUA ANAWEAKUWAANATAMANI PIA...SO SOMETIMESFACE THE RESULTS THEN JIPANGE TENAHaya karibu kulitoa... alafu tatizo sio kujihami mkuu mood ndo sheedah
Nina hisia kama zako. Mara nyingi kuchukua mpenzi wa rafiki inaleta mwisho mbaya tu. Huyu jamaa kuna kitu anataka kuharibu na kuondoka, she has to be smart, otherwise anaweza kupoteza kotekote.Acha kujidanganya, usidhani mwanaume anaweza kuwa kauzu kwa rafiki yake kirahisirahisi na kukuoa wewe wakati wana historia. Huyo anataka kukufunua na kukubwaga au kuwa na wewe kwa siri akikutumia au kukubwaga mara tu atakapokutumia. Na hili linaweza kutokea wakati yeye akiwa hata hajapanga au kudhamiria isipokuwa baada tu ya kumaliza ashki zake, akili yake itamkaa sawa na kukuona wa kawaida maana hata ahadi anazotoa sasa zinaendeshwa na kichwa cha chini. Hutaamini. Mark my words!
Hili swali zuri sana, Mwanamke hapo hamna. Hapo ni mwendo wa kuliwa na marafiki wa Bwana zake tu.
Mwenyewe kaandika thread hii hata Baridi haoni.
Tatizo the lady thinks she is very smart and knows all about men. Mwanaume hata kama hana akili, hawezi kuoa katika mazingira kama hayo. Huyu atarudi humu na machoziNina hisia kama zako. Mara nyingi kuchukua mpenzi wa rafiki inaleta mwisho mbaya tu. Huyu jamaa kuna kitu anataka kuharibu na kuondoka, she has to be smart, otherwise anaweza kupoteza kotekote.