Habari ya usiku wapendwa mimi ni mwanamke age 40 to 45 ni mwajliwa na pia ni mjasilia mali HITAJI: marafiki wa jinsia zote, umri wowote ili tuweze kujadili kuhusu maendeleo hasa kuongezeana ujuzi na mbinu za kibiashara, maana mishahara peke yake haitoshi kukidhi mahitaji yetu. asante, mawasiliano 0787 010718
mwanamke mpaka sa hizi hujalala!!! unasubiri nini kwanza....
Anataka marafiki
Tuko wengi ambao hatujalala siko peke yangu
Habari ya usiku wapendwa mimi ni mwanamke age 40 to 45 ni mwajliwa na pia ni mjasilia mali HITAJI: marafiki wa jinsia zote, umri wowote ili tuweze kujadili kuhusu maendeleo hasa kuongezeana ujuzi na mbinu za kibiashara, maana mishahara peke yake haitoshi kukidhi mahitaji yetu. asante, mawasiliano 0787 010718
mmmh marafiki wa usiku... ataishia kuombwa nanii tu
Ningefurahi endapo ungekuwa mmojawapo kati ya hao marafiki
Kwani hujajua target yake????
Ha ha ha yaani mpaka uokote vocha? usawa wenyewe huu nani wa kupoteza hiyo vocha?
hahha basi anapita mbali sana... watu walivonakiu, angefunguka tu!!!
Kuombwa ni kawaida, lakini si kila ombi linakubaliwa
Kasahau hizi zama za ukweli na uwazi.
kabisaaaa..... na kahali ka hewa kenyewe kanaruhusu, hamna wa kumbania!!!