Rafiki wa kukupa fursa za kimataifa

Rafiki wa kukupa fursa za kimataifa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,340
Reaction score
56,039
Urafiki wowote lazima uwe na faida au tija, hakuna urafiki mzuri kama wa kupeana fursa, kusaidiana penye changamoto n.k marafiki wa stori stori au maneno maneno sio wa kuaminika, ndio waliowengi wana 'element' za kiunafiki. Leo wako na wewe, kesho wanageuka kuwa adui.

Ni vizuri kujiwekea mikakati ya kupata marafiki wenye tija, kama wewe ni mzawa na unataka kupata marafiki watakaokupa fursa za kimataifa, tafuta marafiki kutoka nchi zingine, mfano; Uganda, Kenya, Sudan, S. Africa, Rwanda, USA, Brazili, Canada, Uingereza nazinginezo unazozifahamu. Hao ndio watakaokupa fursa, kwa kukuonyesha 'gap' lipo sehemu gani.

Lakini ukitaka marafiki uchwara wa tararila endelea kuwa na mmatumbi mwenzako, leo uko naye kesho anakugeuka.
 
Kuna mjinga mmoja nilisoma nae o'level tukapotezana tukaja kukutana ukubwan kila mmoja akiwa muajiriwa wa serikali.alikua na matatizo mengi kazn kwake 7bu ya ulevi uliopindukia ikabidi nimfanyie mchakato akahamishwa kikazi nilipo.

Juzi Kati alipata visenti kdg akawa anakula maisha na wadada wa town..nilikua napita kwenda kwenye harakati zangu kumbe akaniona,alinipigia cm nikajumuike nae tupooze koo nikaona poa co kesi maana huko napokwenda pia ninafuata pombe. Kabla cjafika eneo la tukio vibaka wakanitait wakaamsha na wallet pamoja na cm..nilimuita jamaa pemben nikamuelekeza yaliyotokea nikamwambia kabla hatujaondoka niazime 10 elfu ili nichukue tax then Kesho yake nitamrudishia akasema haina shida ww ni ndg yng na pesa ninayo hivyo ondoa shaka.

Ckua na mzuka wa kunywa maana kwenye wallet nimepoteza Kadi za benk na vitambulisho muhm ikabd nimwambie niminyie hilo tenibo nikapumzshe kichwa cku ishaharibika...daaaah

Akajibu
" HELA CO MATAKO KWAMBA KILA MTU ANAYO" HELA NI KWAAJILI YA POMBE TU ILA SIWEZI KUMPA MTU.
nilishikwa na hasira ikabd niende Kwa jamaa mmoja akanisaidia bila kinyongo baada ya kumweleza yaliyonikuta na kumuelekeza napofanyia kazi.
Wiki moja imepita ananitafuta balaa eti kafukuzwa kwenye nyumba mke kamkimbia na watoto hivyo anaomba aje kukaa kwangu wakati ananiweka Sawa maana vitu vyake pia vimefungiwa Kwa kulimbikiza Kodi...nami nikamjibu
Nyumba yangu ni kwaajili yangu na familia yangu..nikafunga mlango akakaa Sana nje mwishowe anaondoka .. nimemblock kila mahali ctak tena urafiki nae anahangaika Kwa marafiki eti nimsamehe maana alipokua anakwama nilikua namsapoti tena bila kijitako kurejeshewa
 
Kuna mjinga mmoja nilisoma nae o'level tukapotezana tukaja kukutana ukubwan kila mmoja akiwa muajiriwa wa serikali.alikua na matatizo mengi kazn kwake 7bu ya ulevi uliopindukia ikabidi nimfanyie mchakato akahamishwa kikazi nilipo.
Juzi Kati alipata visenti kdg akawa anakula maisha na wadada wa town..nilikua napita kwenda kwenye harakati zangu kumbe akaniona,alinipigia cm nikajumuike nae tupooze koo nikaona poa co kesi maana huko napokwenda pia ninafuata pombe. Kabla cjafika eneo la tukio vibaka wakanitait wakaamsha na wallet pamoja na cm..nilimuita jamaa pemben nikamuelekeza yaliyotokea nikamwambia kabla hatujaondoka niazime 10 elfu ili nichukue tax then Kesho yake nitamrudishia akasema haina shida ww ni ndg yng na pesa ninayo hivyo ondoa shaka.
Ckua na mzuka wa kunywa maana kwenye wallet nimepoteza Kadi za benk na vitambulisho muhm ikabd nimwambie niminyie hilo tenibo nikapumzshe kichwa cku ishaharibika...daaaah
Akajibu
" HELA CO MATAKO KWAMBA KILA MTU ANAYO" HELA NI KWAAJILI YA POMBE TU ILA SIWEZI KUMPA MTU.
nilishikwa na hasira ikabd niende Kwa jamaa mmoja akanisaidia bila kinyongo baada ya kumweleza yaliyonikuta na kumuelekeza napofanyia kazi...

Hakukumbuka fadhila
 
Hivi kwa nn wanywa pombe wako tayari kununuliana pombe zote lakin si kwa kusaidiana kwenye hela ,wengi wao wako hivo,nashindwa kuwashangaa sana
 
Ubinadamu kazi sana wandugu kikubwa kutafuta rafiki ambae mutaendana kimawazo na mienendo
 
Hivi kwa nn wanywa pombe wako tayari kununuliana pombe zote lakin si kwa kusaidiana kwenye hela ,wengi wao wako hivo,nashindwa kuwashangaa sana
Hawataki pesa zao ufanyie jambo la maana
 
Back
Top Bottom