Rafiki wa kiume

utapita nae barabarani vp na wewe lizy

Halafu wewe Smile na hivi vi avata vyako hivi ndio maana watu wanakusumbua humu. Hebu weka vya design nyengine bwana, unatesa watu humu.
 
:biggrin1: Mentor mimi kuhamia arsenal ni bora nihamie freemason :happy:
 
Last edited by a moderator:
Halafu kumbe tangazo ni la 2011,i hope ulishampata

Ampate wapi mshabiki wa Man Utd aliye tayari kuhamia Arsenal kisa papuchi...sijui!!! labda mzabzab πŸ˜›layball:
 
Last edited by a moderator:
Halafu wewe Smile na hivi vi avata vyako hivi ndio maana watu wanakusumbua humu. Hebu weka vya design nyengine bwana, unatesa watu humu.
nawatesaje mkuu?
 
Du nimechelewa dili hili ,hakuna nafasi ya upendeleo
 
Ampate wapi mshabiki wa Man Utd aliye tayari kuhamia Arsenal kisa papuchi...sijui!!! labda mzabzab πŸ˜›layball:

hahaha mie kama papuchi anatoa freshy tuu...kwanza mie mpenzi wa football tactics. sina upenzi wa timu hazijanizaa
 
Toka 2011 hadi leo hujapata mdogo wangu Smile?

Usitake kunambia kwamba una gundu kiasi hicho??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…