Rafiki wa kiume wa holiday...

Smile kiukweli me nina baadhi ya vigezo ulivyotaja bahati mbaya vigezo vingine sina lakini jambo moja nataka kuwa wazi ukinikubalia kwenda na ww vacation nitakugonga tu. Kama hiyo haikusumbui mwaga program ili tujipange.
 
Smile ni bora hata ungesafiri na mdogo wako au another friend.......hawa invisible wa humu...mmh mmh mie Husninyo alishanipa warning kwakweli!!
 
Last edited by a moderator:
smile kiukweli me nina baadhi ya vigezo ulivyotaja bahati mbaya vigezo vingine sina lakini jambo moja nataka kuwa wazi ukinikubalia kwenda na ww vacation nitakugonga tu. Kama hiyo haikusumbui mwaga program ili tujipange.
ushindwe kwa jina la bwana
 
smile umejilipua...........
hawa wakaka watakimbia huu mlipuko maana walijua makopakopa yatakuwepo wewe umepiga mkwara...anyway nilisikia Bishanga anataka kwenda vakesheni....(joke)
BADILI TABIA,masharti ya Smile siyawezi mwenzio.
hivi dume zima niko na kimwana kama smile halafu eti tuko porini tunakodolea miti mimacho,kha,kwanza mi mwenyewe nimezaliwa porini,shule full umande asubuhi halafu leo uniambie vekesheni nikaangalie miti Smile akawatafute wenzie waliozaliwa ostabei.
 
Last edited by a moderator:
kumbe unakutana na watu humu?
nilifikiri hutaki ku date humu?

usimuulize maswali magumu sana mkubwa!halafu ni kama kuna mahali kwenye post yake nimesoma anasema kama ni mwanaume asiwe ameoa au kuwa na mpenzi.....halafu kakutana na mtu humu kumbe hafanani na umri wake........na vigezo vyote hivyo bado hataki ku-date mtu humu!!kweli akili yake imevurugwa dadangu?na-meet vigezovyote isipokuwa hivho cha ndoa tu...lol!
 
tatizo humu watu mnapenda kucritisize kila kitu ..ila nishampata...
 
Hapo tu mdio pagumu....kwingine kote poa!!
Noana pia hutukaki vibabu....

Amewakamata, hata hivyo unaweza kuji-Lulu tu in terms of Umri.

Hata hivyo huko ni msituni vibabu havifai huko bana, akitokea Simba mla watu hapo ndo utajua maana ya age limitations, lol
 
tatizo humu watu mnapenda kucritisize kila kitu ..ila nishampata...

wala hujakosolewa tabasamu we....!nimeona tu kama kuna mambo yananchanganya ktk uzi wako na nmikaayaorodhesha.wa sifa hizo,porini kama huko,for two weeks....nawashauri tu mkumbuke kubeba kinga...lol!isije ikawa safari ya kukaleta ka_uncle bila kupanga ikaanzia hapo au (mungu apishe mbali)yale makubwa zaidi.all the best,though.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom