sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk...
au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani...
sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha.
2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common.
3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi....
4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate
kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali.
please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa ....
sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
inaonekana unachukia sana habari za yesu eeeeeee,.Mmmh shosti mbona hii kali, nevertheless, sasa ya nini habari za yesu na misituni tena. Anyways good luck
hii ni jf kama wewe sio great thinker ni ngumu kuishi huku .. naona upo na low mind subiri ukue byeee
umetumwa au?yaani wewe ndio sio graetthinker kwani nilikuwa najaribu tu kukutest akili yako na nimegundua kuwa huna staha, na hujui kudeal na watu wanaokuboa hata kwa dakika 1! pole sana maana naona huna hata hekima kidogo ya kuweza kufukiri kabla hujasema...haya ningeingia kichwa kichwa si ingekula kwangu?! binadamu ni kuvimiliana mkubwa!unapayuka utafikiri nini ndugu yangu! umeshindwa interview ndogo tu...nina sifa zote sema tu umenitibua...
hakuwa wa kudate aliniomba tukapate lunch nikaona vile kijana mwenzangu ngoja niende naweza kupata hata new idea...kumbe loh ! acha tu!
kama kipi@rogi
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk...
au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani...
sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha.
2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common.
3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi....
4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate
kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali.
please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa ....
sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk...
au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani...
sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha.
2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common.
3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi....
4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate
kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali.
please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa ....
sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
tutalala wote kwani sisi ni couple bwana ...just friends mida ya kulala kila mtu na chumba chake au!hapo tuu nitafail may be uondoe hicho kigezo
Mhhh sis huwa sikuelewi elewi maana interest zako ni balaa
Sasa wiki mbili halafu tutakuwa tunalala mzungu wa reli au vyumba tofauti au ni huko huko msituni
Hata kama ameoa au kuolewa?sory nimekosea heading...ni rafiki wa jinsia yeyote please..nitakuwa likizo from tar 30 kwa wiki mbili...
natafuta rafiki jinsia yeyote
mimi napenda sana nature....so nataka twende sehemu kama misituni hivi kusikiliza sauti za ndege,kuangalia maua.miti nk...
au kwenye water falls hv au kuangalia wanyama mbugani...
sifa zake...1-awe muongeaji sio saaana kidogo napenda story ila sio za kizushi za kunifurahisha.
2-awe na interest kama zangu maana kuna vitu tutaitaji kushare so ni vizuri tukawa na vitu flani in common.
3-kama ni mwanaume asinieleze mambo ya mapenzi sitaki kuwa mmu -wala sitaki aniambie umependeza mdomo wako mbaya/mzuri sitaki labda aniulize unataka sh ngapi....
4-awe mkristo naitaji awe ananielezea habari za yesu kwa sana
5..hii vacation itakuwa cost sharing so awe na balance
6.... miaka 32 hadi 41 aje na birth certificate
kama upo interested nipm utume utume na picha kwa email dinacathu@yahoo.com au unaweza nipata facebook smile dinah,ili tufanye arrangements za safari na kufanya booking mbalimbali.
please sitanii naitaji kurefresh mind yangu iliovurugwa ....
sitaki uzushi...mimi ni mkweli daima ...so kama unatania pls stay away from me
tutalala wote kwani sisi ni couple bwana ...just friends mida ya kulala kila mtu na chumba chake au!