Rafiki wa kishua anaibiwa

Samahani naomba kukuuliza hivi kwanini kwenye huu uzi wako umejishusha? Umejiita mfupi na ugly kwanini?. Kama umeamua kujishusha nani atakae kupandisha? Ukiwa na moyo huo utaumia sana kwenye ndoa manake utaona mumeo ana kusaliti,kutesa na kukudharau na hautaweza kufanya chochote. Kwasababu wewe mwenyewe ushajishusha na kijidharau sio lazima kupendwa lakini ni lazima kujipenda.


Ndukiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
MKUU,
UMESEMA WE' NI MFUPI,

VIPI NI MFUPI SANA KAMA WALE MAESKIMO WA KONGO?

KAMA SIO SANA NAOMBA TUWASILIANE MKUU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But ni ukweli tho,ila mwanaume awezi kukotrol maisha yangu sababu ya maumbile yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili kumfanya ajue si lazima umwambie........kwa kuwa unaujua mchezo basi unaweza gonganisha magari kama ajari tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But ni ukweli tho,ila mwanaume awezi kukotrol maisha yangu sababu ya maumbile yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasahivi bado haijakujaa hio hofu lakini maisha kila yakenda hukuingia kidogo dogo mpaka mwanaume atakuja kukucontrol atakavyo. Na hata uwe mfupi vipi na ugly vipi usijiite hivyo hata iwe kweli but usijidharau hakuna mkamilifu kwenye dunia hii. Kila unachokiona kina kasoro lakini hakijidharau kasoro zake.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ni ukweli bwana I'm not that attractive

Sent using Jamii Forums mobile app
beauty lies in the eyes of the beholder. U will never be attractive if you don't find yourself attractive.
The whole concept of beauty is subjective in the sense that what you find in yourself as unappealing might be the most gorgeous trait somebody else sees on you.
Kuhusu swala la kusalitiana, fuata moyo wako unachokwambia ila kama hao wasaliti wanajua kuwa wewe unajua na unakaa kimya then you are as a good of an accomplice as they are, hivyo ni bora kumwambia muhusika. Ila kama hawajui then just be there as a friend kwa msalitiwa pale yakisanuka, that's the most you can be. Don't be the bearer of bad news as it might backfire on you eventually.
 
Ukiwa real hupendwi ila ukifake unafagiliwa
 
Kwakuwa ulijuwa mapema na hukuchukuwa hatua za kumwambia bassi potezea tu maana ukithubutu kumwambia now basi hiyo inakuqa sio habari bali unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie hapo anapotezewa muda. Akereact vibaya atajajijua, ilimradi wewe umeshafanya part yako kama rafiki.
# Ila rafiki umesema wewe ni kabaya, ina maana hata chura hauna ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…