Rafiki wa kishua anaibiwa

nakushauri useme mapema, coz hata huyu shemeji, achelewi kukutafuna na wewe.. mkajikuta nyote wa3 mna mimba ya boy mmoja mjinga mjinga..!
 
mwambie tu maana ukweli haujifichi ipo siku tu ataujua ukweli na akijua atakuchukia na wewe maana atajua na wewe ulikua unajua ila hukumwambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Apige kimya mwenyewe atakuja kujua kwa wakati wake, akikurupuka anavunja urafiki maana ushahidi watakuwa hana na ataonekana mchawi kati yao
 
Sikukuelewa mwanzo,sorry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni connect na huyo wa kishua nimchukue, ni Pm namba yake, huwa mm napenda sana wanawake wa namna hiyo kwa sababu hata nauli atakuwa nayo
 
Mkuu hao sio mume na mke wanao ongelewa hapa ni wadhinifu watatu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kweli but naoana kama ndo nafanyiwa miye

Sent using Jamii Forums mobile app

sasa wewe ugliest shortest scumbag...huo unaitwa unafiki.!!

laiti ingelikuwa linakugusa kumoyo,ungeshamwambia huyo shogako au unasubiri wamtilie sumu ndio umwambie.!??

ndio maana hujipendiii,na unashindwa kumthamini mwenziooo.

Hovyo kabisaaa
 
Hakuna namna wewe mwambie ukweli huyo mwenzio. Rafiki wa kweli ni yule anaeniambia ukweli,hata kama unauma. Hapo wewe jiandae kwa vyote ukimwambia ukweli kama ataupokea vibaya wewe kaa pembeni,lakini ipo siku tu ukweli utajitokeza na atajua. Kibaya kama hujamwambia halafu akajua ukweli kwa njia nyingine na akajua na wewe ulikuwa unajua,ila ukamezea,atakuchukia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Hata angeķuwa dadako ungekauka?,....Mwambie kiutuuzima tu afanye uchunguzi wake kwa busara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…