kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
Kivipi ebooπ πDaah jamaa anataka kuwasha bangi kwa mshumaa wa kanisani.
KivipiANGALIA UNAVYOJICOMENTISHA
Mambo mengine ni mwiko amuache shemej yke apate relief waungwana tupo.Kivipi ebooπ π
Muungwana huna ubayaπ πMambo mengine ni mwiko amuache shemej yke apate relief waungwana tupo.
Nini sasa dada Eva π€£π€£π€£ππππππππππ
Pumzika nduguNini sasa dada Eva π€£π€£π€£
Ni upendo tu mpk ananiombea kw mungu niishi mpka atakapokufa yeye tukalisebenze khahera mpk malaika nao waone wivu.Muungwana huna ubayaπ π
Maisha yangu hayapumziki, nifanyeje?Pumzika ndugu
Hatari sanaKivumbi
Ila kuna huyu mmoja alioa, tunamuweka kwenye kundi gani?Mashemeji siyo wa kuwachekea kabisa hawana adabu
Akitaka kusema wewe ni demu wetu...Malizia kama unajiamini π€£π€£π€£
Kwa hiyo na wewe umo kwenye wanaume zangu π€£π€£Akitaka kusema wewe ni demu wetu...
Alivomaanisha yeye, π€£π€£Kwa hiyo na wewe umo kwenye wanaume zangu π€£π€£
Sema neno kaka mkubwaππππππππππ