Rafiki shemeji ulinitesa lakini nilikuelewa

Rafiki shemeji ulinitesa lakini nilikuelewa

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
10,653
Reaction score
19,347
Ni mdogo wa aliekua mke wangu, mtoto wa mama yake mdogo. Tulikua tunaishi nae toka alipoingia kidato cha tano mpaka kamaliza chuo, na she was (is) pretty in the real sense of the word. Tulikua tunaelewana sana lakini maelewano yangu na yeye yalizidi wakati alipokua chuo hadi alipomaliza huku akiwa anaishi kwangu mimi na dada yake. Pamoja na kua alikua ananiheshimu, she was very open kwangu.

Tulikua tuna piga story nyingi huku akinieleza siri zake nyingi za maisha yake ya ndani na hata hisia zake, kwakweli hakubakisha kitu. Hata wakati wa periods zake alikua akiniambia na akiniagizia sometimes 'bidhaa' za kujihifadhia. Aliekua wife(siku hizi anamaisha yake na familia sehemu nyingine na mimi naendelea na maisha yangu) anafanya serikalini na alikua anawahi sana kuondoka asubuhi. Amini nawaambia shem wangu huyu kama anataka kitu chumbani kwa dada yake na mimi nipo mwenyewe atagonga hodi, ataingia na atafanya analotaka kama kupaka mafuta, na kutumia dressing table bila wasiwasi. Sometimes niko bafuni nimesahau kitu namwita ananiletea hadi nje ya mlango wa bafu ananipa kwa mimi kutoa mkono nje. Na tunaweza kupiga story mimi niko bafuni naoga yeye yupo nje and vise versa!

Yoote haya alikua akifanya kama dada yake hayupo. Sasa akili zangu za ujana zikanambia hapa nimeshamaliza kazi, kama ni kutongoza nimeshamaliza kivitendo kwa 90%. Kumbuka nilikua namletea zawadi za underpants na bra na akivichukua kwa kuvificha dada yake asimuone. Kwa kifupi she was like my girl

I took her for granted! Lakini sasa when I moved forward na kumbembeleza tule tunda she politely rejected! Nilikua play boy enzi hizo na nilianza kutumia tricks zoote ninazojijua ili kumlainisha lakini kwa Fanta(nick name yake inayojulikana na mimi tu) hakua tayari kabisaa kwenda zaidi ya hapo tulipokua tumefika kati yetu. Alizidi, kuniheshimu lakini alizidi pia kujiachia kwa mambo mengi kwangu lakakini hakua tayari kunivulia chupi! Alikua rafiki yangu wa kweli ambae matatizo yangu yalimuumiza hasa na furaha yangu ilimfariji. Na wala alikua hanidanganyi kwamba sijui nitakupa kesho au mwakani, she simply turned down ombi lolote la kuvunja amri ya sita.

Siku moja mawazo mabaya yalinijia kwamba pengine huyu nimbananishe kwa nguvu dada yake akiwa hayupo, nikisha kula tunda siku moja basi tutaendelea. Nilimwita sitting room asubuhi moja baada ya wife kwenda kazini akaja na kanga yake ya shingo bila bra, akaa karibu kabisa na mimi, baada ya some dirty talks nikataka kufanya some advances towards her, aka resist! nikaona nizidishe nguvu kidogo, dah Fanta was firm na akakataa katakata na akatishia kama nikiendelea atapiga kelele majirani waje. Mi nikadhanni uongo bana , nikamvutia kwangu.

Hiyo kelele aliyopiga si yakawaida, she meant everything she was telling me. Dah! bahati nzuri hakukua na jirani aliekuja na akaanza kulia. Nikaanza kazi ya kumbembeleza na kuomba msamaha ili angalau ule urafiki wa mwanzo usife. She took her time na baada ya muda akarudia kawaida na urafiki wetu ukaendelea kama mwanzo bila kupungua kitu chochote

Fanta alikuja kuolewa akiwa kwangu and I played a fatherly role (japo kiumri siwezi kumzaa ni heshima tu nilipewa) kwenye harusi. Bado sisi ni marafiki ambapo akiwa na lake atanipigia aniombe ushauri au japo nimsikilize tu, na mimi kama nina frustrations zangu nampigia tunashauriana. Alinambia siku moja, kama ningekua sipo na dada yake wakati huo angekua mali yangu, and I know she was telling the truth, maana Fanta si mtu wa kudanganya, ingawa anavoniambia sasa ni kama yule jamaa mwanaume aliekua anautaka Uspika wa Bunge la Jamhuri halafu ikawekwa kigezo kua sasa ni zamu ya mwanamke.

Inawezekana Fanta yupo humu JF, akisoma atajua ni mimi lakini ninauhakika hawezi kukasirika,sababu hii siri anaeijua ni mimi na yeye tu. Bado ananiheshimu kama shemeji yake, bado ananiamini kama rafiki yake, na mimi pia
 
Umenikumbusha nikiwa form two class kulikua na demu mkali sana, ikatokea nikawa karibu na yule demu, hakuna siri aliyonificha, yaani ukimtongoza lazima aje kuripoti kwangu, na Mimi natia figisu mpaka unakataliwa. Japo nilikua na kademu kangu, ila huyu ukaribu ulizidi mpaka kademu kangu kakawa kanakasirika sana. Dormitory nilikua nataniwa sana (nisipo kula mzigo wenzangu watakula alafu ntaaibika alwatani mimi). Nashukuru mpaka tunamaliza hakuwai mkubali mshkaji yoyote pale. ALWATANI MIMI SIKUPATA FEDHEHA.
 
Mzigo hukula?,urafiki wa mvulana na msichana ambaye sio ndugu yako unaanzia wapi kwa mfano?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Umenikumbusha nikiwa form two class kulikua na demu mkali sana, ikatokea nikawa karibu na yule demu, hakuna siri aliyonificha, yaani ukimtongoza lazima aje kuripoti kwangu, na Mimi natia figisu mpaka unakataliwa. Japo nilikua na kademu kangu, ila huyu ukaribu ulizidi mpaka kademu kangu kakawa kanakasirika sana. Dormitory nilikua nataniwa sana (nisipo kula mzigo wenzangu watakula alafu ntaaibika alwatani mimi). Nashukuru mpaka tunamaliza hakuwai mkubali mshkaji yoyote pale. ALWATANI MIMI SIKUPATA FEDHEHA.
yaaan ww mkuu una roho mbaya hata kumtongozea mshikaj wko ulishndwa
 
Back
Top Bottom